Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LORI LA MAFUTA LAPATA AJALI MBAYA TANGA

lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga ngozo ya umeme huko Handeni ,Tanga. Wananchi wakishuhudia…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

LORI LILILOBEBA MAITI LAPATA AJALI, LAUA WATU 5 NA KUJERUHI WENGINE 36

http://2.bp.blogspot.com/-i2-4osDY9qY/UWP7jkUdnlI/AAAAAAAAZlU/Kl-V8X24-g4/s1600/IMG_0134.JPG WATU watano wamekufa na wengine 36 kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kwenda msibani kupata hitilafu katika mfumo wa breki na kisha kutumbukia kwenye korongo.
Taarifa zilizothibitishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Bw. Ahmed Msangi zilieleza kuwa ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nane mchana katika mteremko wa Kanyegele, Kata ya Ntokela wilayani Rungwe.
Kamanda Msangi alisema lori hilo aina ya Mitsubishi Fuso yenye namba za usajili T143 ACR lilikuwa likitokea Ilemi...

 

10 years ago

Mwananchi

Majeruhi wa moto wa lori la mafuta Mbagala hali bado mbaya

Majeruhi wa moto uliotokana na mlipuko wa lori la mafuta huko Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hali zao zinaendelea kuwa mbaya.

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO

 NEWS UPDATES.:Jumla ya watu. 12 wamepoteza Maisha na 22 wamejeruhiwa leo baada ya basi la New Force kupata ajali Eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Dar es salaam..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Peter Kakamba amethibitisha watu 12 kupoteza maisha katika ajali hiyo. Wanane ni wanae na wanne ni wanawake. Abiria 28 wamejeruhiwa wakiwemo madereva wa basi la lori na hali zao siyo nzuri.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane alasiri ambapo basi la...

 

11 years ago

GPL

AJALI MBAYA: MWANAFUNZI MAKONGO AGONGWA NA LORI, AFARIKI

Mwanafunzi wa shule ya Makongo, Priscus Mallya amegongwa na lori na kufariki papo hapo. Marehemu Priscus Mallya  akiwa katikati ya barabara baada ya kugongwa.…

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Ajali ingine yatokea Soni leo, lori la mafuta lagongana na basi la abiria uso kwa uso

Abiria zaidi ya 50 wamenusurika leo bada ya basi walilokuwa wakisafiria liitwalo Burudani kugongana uso kwa uso na Lori la tenki la mafuta maeneo ya Soni mkoani Tanga. Mashuhuda wamesema hii ajali imetokea baada ya Lori la mafuta kukatika breki na kuvaana na basi hilo uso kwa uso. Habari zinasema hakuna maafa yaliyoripotiwa hadi sasa ila watu kadhaa wamepata majeraha na kukimbizwa hospitali. Hii ni ajali ya pili ya basi la abiria kutokea leo, ikufuatiwa na ile ya asubuhi maeneo ya Msimba,...

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAANGUKA

Lori la mafuta likiwa limepinduka eneo la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa, Dar. Kikosi cha Zima Moto kikiwa eneo la tukio.…

 

10 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LAUA 70 NIGERIA

Lori lililopata ajali, hapa jitihada ya kuzima moto huo zikiendelea. Takribani watu 70 wamefariki dunia huko mashariki mwa Nigeria baada ya lori la kubeba mafuta kushika moto na kuteketea vibaya. Police wanasema huenda kilichosababisha moto huo ni ajali. Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo alishindwa kulidhibiti ndipo likakosa mwelekeo na kutoka barabarani na kuwagonga watu waliokuwa wakisubiri usafiri katika kituo kimoja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani