Majeruhi moto wa lori hali tete
Majeruhi watano kati ya saba wa ajali ya mlipuko wa lori la mafuta, Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, hali zao bado haziridhishi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Majeruhi wa moto wa lori la mafuta Mbagala hali bado mbaya
11 years ago
GPL![](http://www.itv.co.tz/media/image/LORI.jpg?width=650)
LORI LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LORI LINGINE
10 years ago
Mtanzania14 May
HALI TETE BURUNDI
Waandishi Wetu, Bujumbura na Dar
JARIBIO la mapinduzi lilifanyika jana nchini Burundi kumpindua Rais Pierre Nkurunzinza kupinga mpango wake wa kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Maelfu ya watu walimiminika katika mitaa ya mji mkuu wa taifa hilo, Bujumbura, kushangilia tangazo la mapinduzi lililotolewa na Meja Jenerali Godefroid Niyombare.
Hata hivyo, matokeo ya mapinduzi hayo yalikuwa mbali na uhalisia.
Uamuzi wa Jenerali Niyombareh ambaye alitimuliwa na Nkurunzinza kama mkuu wa usalama...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
hali tete TanzaniteOne -2
WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene mwishoni mwa wiki (Ijumaa iliyopita) alifanya zi
Paul Sarwatt
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Hali tete Msimbazi
10 years ago
Raia Mwema12 Aug
Hali tete TanzaniteOne
HALI ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzanite ya TanzaniteOne, iliyo
Paul Sarwatt
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Hali tete Zanzibar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
HALI ya usalama visiwani Zanzibar imechafuka baada ya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), kuvamiwa na kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Kutokana na vurugu hizo, watu 25 waliokuwa wakitokea katika mkutano wa CUF uliokuwa unafanyika Makunduchi, Wilaya ya Kusini Unguja wamejeruhiwa, huku wanne kati yao wakilazimika kuhamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio...
11 years ago
Tanzania Daima14 Apr
Wafungwa Keko hali tete
MVUA zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimewaweka mahabusu na wafungwa katika Gereza la Keko katika hali ngumu kutokana na gereza hilo kuvuja. Habari kutoka kwa askari magereza wa gereza...
9 years ago
StarTV04 Sep
Hali tete Kipindupindu Dar.
Serikali imesema bado hali ni tete ya kumaliza maambukizi ya ugonjwa wa kipindipindu mkoani Dar es salaam ambao hadi sasa umesababisha vifo vya watu kumi.
Kutokana na hali hiyo, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick amevifungia visima 20 vya maji vilivyobainika kuwa na vimelea vya kipindupindu pamoja na kupiga marufuku uuzaji wa vyakula mashuleni.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Meck Sadiq amesema tangu kutokea kwa mlipuko wa kipindupindu, wamepokea wagonjwa 636 katika vituo vya...