Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJERUHI WA MOTO WA PETROLI MBAGALA WALIOLAZWA MUHIMBILI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAJERUHI WA MOTO WA PETROLI MBAGALA WALIOLAZWA MUHIMBILI




Baadhi ya majeruhi wa ajali ya moto wakiwa wodini.


MAJERUHI 9 kati ya 15 waliofikishwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuungua na moto uliosababishwa na kuungua kwa lori la mafuta huko Mbagala jijini Dar es Salaam Oktoba 15 mwaka huu, wanaendelea na matibabu huku hali zao zikiwa bado mbaya.

Kamera yetu ilifika katika hospitali hiyo na kuwakuta wagonjwa hao wakiwa wamelazwa katika wodi namba 23 iliyopo katika jengo la Sewahaji na Afisa Uhusiano msaidizi wa Muhimbili, Doris Ihenga...

 

10 years ago

Mwananchi

Majeruhi wa moto wa petroli wasimulia

Wakati mtu mmoja kati ya majeruhi walioungua moto juzi kutokana na mlipuko wa lori la petroli akifariki dunia na kufanya waliopoteza maisha kufikia watano, majeruhi wawili jana wamesimulia jinsi mkasa huo ulivyowakuta.

 

10 years ago

Mwananchi

Majeruhi wa moto wa lori la mafuta Mbagala hali bado mbaya

Majeruhi wa moto uliotokana na mlipuko wa lori la mafuta huko Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili hali zao zinaendelea kuwa mbaya.

 

10 years ago

GPL

TUKIO LA MOTO MBAGALA: WATATU WAFARIKI, SITA HOI MUHIMBILI

Mmoja wa majeruhi katika tukio hilo la moto akisimulia.
Baadhi ya sehemu za mwili za watu walioungua.…

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AWATEMBELEA NA KUWAPA POLE MAJERUHI TISA WALIOLAZWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkagua na kumpa Pole Kijana Said Ali Juma Mkaazi wa Sogea aliyelazwa chumba cha wagonjwa Mahututi baada ya kupata ajali ya gari akitokea katika Mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Kushoto ya Balozi Seif ni Darkati wake Dr. Juma Salum Mambi.Balozi Seif akimfariji Bwana Ramadhan Hussein Masoud Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja ambako amelzwa baada ya Garei alilokuwa akisafiria kutoka katika Mkutano wa Kampeni ya...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YATOA MISAADA KWA WAGONJWA WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Mdhibiti  Uhalifu wa Kifedha wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Thomas Mgonja (kushoto) akikabidhi msaada wa sabuni kwa Enesi Sanga ambaye mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wafanyakazi wa idara ya udhibiti wa uhalifu wa kifedha ya benki hiyo walikwenda hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu ikiwa ni sehemu ya mpango wa NBC wa kuhudumia na kurudisha sehemu ya faida waipatayo katika shughuli za kijamii.

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAJULIA HALI MAWAZIRI WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, aliyelazwa katika jengo la Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wakati alipofika kumjulia hali leo, Jan 15, 2014. Kulia ni mke wa Makamu, Mama Zakia Bilal (kushoto) ni Meneja wa Jengo hilo la Moyo, Sr. Salome Kassanga.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib...

 

10 years ago

Michuzi

JK AWAJULIA HALI WAKUU WA MIKOA YA KILIMANJARO, SIMIYU NA MJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WALIOLAZWA MUHIMBILI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Paschal Mabiti aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leoRais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe. Dkt Henry Mwijarubi Nyamubi aliyelazwa kwa matibabu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani