BENKI YA NBC YATOA MISAADA KWA WAGONJWA WALIOLAZWA MUHIMBILI
Mdhibiti Uhalifu wa Kifedha wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Thomas Mgonja (kushoto) akikabidhi msaada wa sabuni kwa Enesi Sanga ambaye mtoto wake amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Wafanyakazi wa idara ya udhibiti wa uhalifu wa kifedha ya benki hiyo walikwenda hospitalini hapo jijini Dar es Salaam jana kukabidhi misaada mbalimbali ya kibinadamu ikiwa ni sehemu ya mpango wa NBC wa kuhudumia na kurudisha sehemu ya faida waipatayo katika shughuli za kijamii.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBENKI YA NBC YATOA MISAADA KWA WAGONJWA WA MUHIMBILI
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA MSAADA KWA WALEMAVU WA NGOZI
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa mafuta, kofia, pikipiki na kompyuta kwa albino
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VkR2q43__88/Vkxwq6Wo1QI/AAAAAAAIGlc/LKM_0Y2k-_4/s72-c/01.jpg)
BENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU HUDUMA ZA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA MKOANI MWANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-VkR2q43__88/Vkxwq6Wo1QI/AAAAAAAIGlc/LKM_0Y2k-_4/s640/01.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-tmUHi43zVB0/Vkxwrb1V9iI/AAAAAAAIGlk/6jxyC9U4JlI/s640/02.jpg)
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU UBORA WA HUDUMA YAKE YA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA WA MTWARA
11 years ago
Dewji Blog05 May
Benki ya NBC yatoa elimu ya kifedha kwa wateja mjini Morogoro na kufundisha watoto kusoma jijini Dar
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi (kushoto) akipokea kitabu chenye mafundisho ya kifedha yanayofuata maadili ya kiiislamu kutoka kwa Meneja Tawi wa Benki ya NBC Morogoro, James Ndimbo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa wateja wanaotumia huduma za kibenki zinafuata misingi ya kiislamu (NBC Islamic Banking ), iliyofanyika mjini humo hivi karibuni. Anayeangalia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Morogoro, Bachoo S. Bachoo.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-pgBZpUjcr9U/U2aDqa42UsI/AAAAAAAFfdI/AJT2fbJu1PU/s72-c/photo1.jpg)
Benki ya NBC yatoa elimu ya kifedha kwa wateja mjini Morogoro na kufundisha watoto kusoma jijini Dar
![](http://1.bp.blogspot.com/-pgBZpUjcr9U/U2aDqa42UsI/AAAAAAAFfdI/AJT2fbJu1PU/s1600/photo1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-vDzS2o_hN-E/U2aDqa-1JGI/AAAAAAAFfdQ/_69QqzoF7Cg/s1600/photo2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9tLGlPLNoGM/U13xKXuKCsI/AAAAAAAATa0/zjb5Dl3ZQcA/s72-c/YBY_8051.jpg)
BENKI YA POSTA TANZANIA YATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA WODI YA WATOTO WENYE MAGONJWA YA SARATANI MUHIMBILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-9tLGlPLNoGM/U13xKXuKCsI/AAAAAAAATa0/zjb5Dl3ZQcA/s1600/YBY_8051.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-AxK_2AroDg8/U13xKXtE5zI/AAAAAAAATaw/hDpUlT9b1Fk/s1600/YBY_8058.jpg)