Benki ya NBC yatoa elimu ya kifedha kwa wateja mjini Morogoro na kufundisha watoto kusoma jijini Dar
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi (kushoto) akipokea kitabu chenye mafundisho ya kifedha yanayofuata maadili ya kiiislamu kutoka kwa Meneja Tawi wa Benki ya NBC Morogoro, James Ndimbo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa wateja wanaotumia huduma za kibenki zinafuata misingi ya kiislamu (NBC Islamic Banking ), iliyofanyika mjini humo hivi karibuni. Anayeangalia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Morogoro, Bachoo S. Bachoo.
Meneja wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa elimu ya kifedha kwa wateja mjini Morogoro na kufundisha watoto kusoma jijini Dar
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Amanzi (kushoto) akipokea kitabu chenye mafundisho ya kifedha yanayofuata maadili ya kiiislamu kutoka kwa Meneja Tawi wa Benki ya NBC Morogoro, James Ndimbo wakati wa semina iliyoandaliwa kwa wateja wanaotumia huduma za kibenki zinafuata misingi ya kiislamu (NBC Islamic Banking ), iliyofanyika mjini humo hivi karibuni. Anayeangalia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) Mkoa wa Morogoro, Bachoo S. Bachoo.
Meneja wa...
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yandaa futari kwa wateja wake jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Edward Marks (wa pili kushoto), akimkaribisha Kaimu Mufti wa Tanzania, Shehe Abubakar Bin Zubeir Bin Ali katika hafla ya futari waliyowaandalia wateja wao na wageni wengine waalikwa. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Kassim Hussein. Baadhi ya wateja wa NBC na wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC, Baadhi ya wateja wa NBC na wageni waalikwa wakichukua futari iliyoandaliwa na Benki ya NBC, Mkurugenzi...
11 years ago
Michuzibenki ya NBC yafuturisha wateja wake jijini Dar
Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokewa na Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC Tanzania, William Kallaghe na Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Mussa Assad (kulia) alipoalikwa kama mgeni rasmi katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Mussa Assad (wa pili kushoto) wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja...
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU HUDUMA ZA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA MKOANI MWANZA
Meneja Uendelezaji Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali zinazopatikana kupitia huduma hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Mwanza hivi karibuni. Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu (Islamic Banking) za Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo katika semina waliyowaandalia kuhusu bidhaa mbalimbali...
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU UBORA WA HUDUMA YAKE YA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA WA MTWARA
Meneja Uendelezaji wa Biashara wa Benki ya NBC, Eddie Mhina (kulia), akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo kuhusu huduma za kibenki zinazofuata kanuni na misingi ya kiislamu (Islamic Banking) katika warsha ya siku moja waliyowaandalia wateja wa NBC mkoani Mtwara hivi karibuni. Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi ya Kiislamu (Islamic Banking), cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kulia), akielezea kuhusu huduma hizo wakati wa warsha ya siku moja waliyowaandalia...
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Molel (kulia), akikabidhi sehemu ya msaada wa madawati 30 kwa mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Mlingotini, Wediel Besha, yaliyotolewa na benki hiyo ikiwa ni sehemu ya juhudi za benki hiyo katika kusaidia jamii katika hafla iliyofanyika shuleni hapo, Bagamoyo, Pwani jana. Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Flora Molel (kushoto), akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi...
10 years ago
MichuziMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania akutana na wateja wa benki hiyo jijini Mwanza
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks, akizungumza na baadhi ya wateja wa benki hiyo wa jijini Mwanza hivi karibuni katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na NBC hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania Edward Marks (wa pili kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya wateja wao wa Jiji la Mwanza katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo ili kufahaminiana na mkurugenzi huyo aliyejiunga na benki hiyo...
10 years ago
Vijimambo12 Jul
BENKI YA NBC YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi na kanuni za Kiislamu cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi cha benki hiyo, Mussa Jallow na Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu (kushoto) wakishiriki kuchukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo mjini Zanzibar katika hafla ya futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake mjini humo juzi.Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Mussa Jallow (kushoto), akisalimiana...
10 years ago
GPLBENKI YA NBC YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi na kanuni za Kiislamu cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi cha benki hiyo, Mussa Jallow na Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu (kushoto) wakishiriki kuchukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo mjini Zanzibar katika hafla ya futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake mjini humo juzi. Mkuu wa Kitengo cha...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania