Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wanafunzi Tunduma walala barabarani baada Lori kuua mwanafunzi

 Lori lililosababisha ajali na kuua mwanafunzi na kusababisha wanafunzi wa shule za msingi Tunduma kulala barabarani wakishinikiza kuwekwa kwa matuta.Baadhi ya wanafunzi wa shule za Msingi Umoja,Mlimani na Tunduma za mjini Tunduma wakiandamana kushinikiza kuwekwa matuta kwenye inayoelekea Sumbawanga kutokana na ajali za mara kwa mara zinazosababishwa na mwendo kasi wa madereva. 

Lori linaloonekana pembeni limepinduka, limesababisha ajali na kuua mwanafunzi. Wanafunzi wakiwa wamekaa barabarani...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LORI LATEKETEA KWA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LORI LINGINE

Lori la kusafirisha mafuta linateketea kwa moto. Lori la kusafirisha mafuta likiwa na shehena kubwa ya mafuta aina ya Diesel limeteketea kwa moto baada ya kupata ajali ya kugongwa na lori lingine katika eneo la igurusi wilayani mbarali. Ajali hiyo imetokea  ikihusisha lori lenye namba za usajili T417 ABF, mali ya kampuni ya Camel oil ambalo lilikuwa likisafirisha lita 35,000 za mafuta aina ya diesel kutoka jijini Dar es...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi walala chini Geita

MBUNGE wa Busanda mkoani Geita, Lolensia Bukwiba amemwaga machozi baada ya kukuta wanafunzi wa kike zaidi 25 wa shule ya Sekondari Nyakamwaga wakilala chini kwa kukosa vitanda. Hali hiyo ilijitokeza...

 

10 years ago

Vijimambo

LORI LAPINDUKA NA KUUA WANNE MBEYA

WATU WANNE WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERUHIWA BAADA YA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.200 AKQ AINA YA ISUZU LORI IKIENDESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA KUACHA NJIA NA KISHA KUIGONGA PIKIPIKI YENYE NAMBA ZA USAJILI T.614 BUK AINA YA T-BETTER ILIYOKUWA PEMBENI YA BARABARA NA KISHA KUPINDUKA.AJALI HIYO ILITOKEA MNAMO TAREHE 22.09.2014 MAJIRA YA SAA 17:00 JIONI HUKO MLIMA NYIMBILI, KATA NA TARAFA YA KAMSAMBA, BARABARA YA KAMSAMBA/MLOWO, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA.WALIOFARIKI KATIKA AJALI...

 

11 years ago

GPL

AJALI MBAYA: MWANAFUNZI MAKONGO AGONGWA NA LORI, AFARIKI

Mwanafunzi wa shule ya Makongo, Priscus Mallya amegongwa na lori na kufariki papo hapo. Marehemu Priscus Mallya  akiwa katikati ya barabara baada ya kugongwa.…

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA COASTER ILIYOGONGANA NA LORI NA KUUA WATU 23 IRINGA

Coaster la Kampuni ya Another G baada ya ajali. Taswira kutoka eneo la ajali hiyo. WATU zaidi ya 23 wamepoteza maisha katika ajali ya gari aina ya Coaster mali ya Kampuni ya Another G inayofanya safari zake kati ya Njombe - Iringa baada ya kugongana na lori jana usiku. Ajali hiyo imetokea eneo la Kinyanambo nje kidogo na mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wakati Coaster hiyo ikitokea mkoani Iringa kwenda… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Gari la polisi lagonga, kuua mwanafunzi Pwani

Wanafunzi wawili wa shule ya Msingi Misugusugu mkoani Pwani wamegongwa na gari la polisi wakivuka barabara leo asubuhi, mmoja afariki na mwingine ajeruhiwa.

 

11 years ago

GPL

LORI LA MAFUTA LADONDOKA MILIMA SEKENKE, LALIPUKA NA KUUA WATU WANNE‏

 Wananchi wakiangalia lori baada ya kuungua.  Mabaki ya lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Lori la mizigo lagonga Kilabu cha Pombe na kuua watu watano papo hapo!

unnamed

Lori la Mizigo likiwa limepaki katikati ya kilabu hicho cha pombe ambacho kilisambalatishwa chote na chini ni mabaki ya kilabu hicho.

unnamed (9)

Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo baada ya kutokea .

unnamed (10)

Maiti nne za marehemu ambao walifariki papo hapo baada ya Lori hilo kugonga kilabu hicho ikiwa imehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya Iringa.

unnamed (11)

 Baadhi ya wananchi wa Eneo la Isimila wakiwa wameongezeka kushuhudia ajali hiyo mbaya iliyouwa wata watano papo hapo.

unnamed (12)

 Hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani