Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE WA MIKUMI MH. JOSEPH HAULE AKARABATI BARABARA JIMBONI MIKUMI

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Fedha za barabara ya Turiani, Mikumi zasakwa

SERIKALI imesema bado inatafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi, katika sehemu ya Ulaya hadi Mikumi yenye urefu wa kilomita 43.7.
Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, alisema ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi umegawanywa katika awamu nne.
Alisema sehemu ya kwanza ni kutoka sehemu ya Magole hadi Turiani, yenye urefu wa kilomita 45 ambapo sehemu hiyo imeshakamilika kwa asilimia 69.
“Sehemu ya pili ni kutoka Dumila hadi Rudewa...

 

9 years ago

Bongo5

Professor Jay ni mbunge mteule wa Mikumi

Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Professor Jay amechaguliwa kuwa mbunge wa Mikumi mkoani Morogoro. Jay ambaye alikuwa anawania ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA, ametangazwa rasmi kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 32,259 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Jonas Nkya wa CCM aliyepata kura 30,425. Kwa mujibu wa ITV, msimamizi […]

 

10 years ago

GPL

LORI LALIPUKA MIKUMI

Ajali ya Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami ambalo limeshika moto mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi,Morogoro.Chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika.…

 

9 years ago

Habarileo

Fuso laua nyati 8 Mikumi

WANYAMA pori aina ya mbogo ‘ nyati’ wanane wenye thamani ya Sh milioni 32.6, wamekufa papo hapo kutokana na kugongwa na gari la mizigo, wakivuka barabara kuu ya Morogoro – Iringa.

 

10 years ago

GPL

AJALI NYINGINE TENA MIKUMI

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro. Ajali hiyo imetokea leo mchana ikiwa ni muda mfupi baada ya ajali nyingine kutokea leo ikihusisha magari matatu kwenye Kijiji cha Mbweni, Handeni mkoani Tanga na kuua watu 10. ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Prof. J kuwania ubunge Mikumi

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, mwakani anatarajia kugombea Ubunge jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro. Akizungumza na Tanzania Daima, rafiki yake wa karibu na Profesa Jay,...

 

10 years ago

GPL

PROFESA JAY APASUA ANGA MIKUMI

Stori: Sifael Paul
Katika harakati za kulinyakua Jimbo la Mikumi wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro kwa tiketi ya chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule almaarufu Profesa Jay (pichani) ameendelea kupasua anga kwenye jimbo hilo akifungua matawi mapya na kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Profesa Jay akiwa na Joseph...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana Mikumi watakiwa kuachana na ujangili

VIJANA kutoka vijiji 20 vinavyozunguka hifadhi ya taifa ya Mikumi Kilosa mkoani Morogoro wameshauriwa kuacha mara  moja kujihusisha na vitendo vya ujangili na badala yake kuunda  vikundi vidogo vya ujasiriamali...

 

9 years ago

Mtanzania

PROFESA JAY aipeleka ‘Mwanalizombe’ Mikumi

JAYNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, amesema ana mpango wa kuihamishia studio ya Mwanalizombe kwenye jimbo lake ili aweze kutekeleza ahadi ya kuinua sanaa. Akizungumza na MTANZANIA, Profesa Jay alisema kuwa moja ya ahadi alizowaahidi

wakazi wa Mikumi kwenye kampeni zake ni kuibua vipaji vipya ndiyo maana ameamua kuihamishia studio hiyo huko ili aweze kutekeleza ahadi hiyo.

“Mikumi kuna vipaji vingi vya muziki lakini hakuna aliyeweza kuviibua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani