Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. J kuwania ubunge Mikumi

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, mwakani anatarajia kugombea Ubunge jimbo la Mikumi Mkoani Morogoro. Akizungumza na Tanzania Daima, rafiki yake wa karibu na Profesa Jay,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Hatimaye Profesa J atangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Mikumi

Profesa J ametangaza rasmi kuwa atagombea nafasi ya ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.Akiongea na 255 ya Clouds, rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, amesema:Unajua nimeamua kugombea jimbo la Mikumi kwa kuwa hapa ni nyumbani. Wazazi wangu waliishi hapa kwa muda mrefu maana babu yangu alihamia hapa kama miaka 58 iliyopita. Baba pia yupo hapa japo wao ni watu wenye asili ya mkoa wa Ruvuma. Kwahiyo nimeona nimekuwa nikiimba siasa sana naona huu ni muda wa kufanya...

 

10 years ago

GPL

PROF. MUHONGO ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (pichani juu) naye ametangaza nia ya kuwania Urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Ukumbi wa Chuo Huria huko Musoma mkoani Mara jioni hii. Prof. Muhongo amesema hawezi kutoa ahadi ya mishahara wakati hajakuza uchumi, hawezi kutoa ahadi ya kujenge shule wakati hajakuza uchumi hivyo tukuze kwanza uchumi kama ulivyo kauli mbiu yake ya Tukuze Uchumi,...

 

9 years ago

Habarileo

Kalapina kuwania ubunge Kinondoni

MWANAMUZIKI wa Hip Hop, Kalama Masoud ‘Kalapina’ aliyekuwa amewekewa pingamizi ya kuwania ubunge katika Jimbo la Kinondoni, ameshinda rufani yake katika Tume ya Uchaguzi na kwa sasa ni mgombea rasmi wa jimbo hilo.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Atangaza kuwania ubunge Arumeru


NA SHAABAN MDOE, ARUMERU
JOTO la ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki limezidi kupanda baada ya kada wa CCM wilayani humo, Elirehema Kaaya, kutangaza kuwania kiti cha ubunge katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kaaya ambaye aliwahi kugombea nafasi hiyo mwaka 2005 na 2010, alisema juzi, kuwa hajakata tamaa kwa kuwa anaamini amejipanga kikamilifu.
Mtangaza nia huyo ambaye kwa sasa ni Ofisa Uhusiano wa Jiji la Mwanza, alisema kilichomsukuma kuwania ubunge ni pamoja na kusukumwa na dhamira ya kutatua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani