Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA JAY APASUA ANGA MIKUMI

Stori: Sifael Paul
Katika harakati za kulinyakua Jimbo la Mikumi wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro kwa tiketi ya chama chake cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mwanamuziki mkongwe wa muziki wa Kizazi Kipya, Joseph Haule almaarufu Profesa Jay (pichani) ameendelea kupasua anga kwenye jimbo hilo akifungua matawi mapya na kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Profesa Jay akiwa na Joseph...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

PROFESA JAY aipeleka ‘Mwanalizombe’ Mikumi

JAYNA CHRISTOPHER MSEKENA

MSANII na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, amesema ana mpango wa kuihamishia studio ya Mwanalizombe kwenye jimbo lake ili aweze kutekeleza ahadi ya kuinua sanaa. Akizungumza na MTANZANIA, Profesa Jay alisema kuwa moja ya ahadi alizowaahidi

wakazi wa Mikumi kwenye kampeni zake ni kuibua vipaji vipya ndiyo maana ameamua kuihamishia studio hiyo huko ili aweze kutekeleza ahadi hiyo.

“Mikumi kuna vipaji vingi vya muziki lakini hakuna aliyeweza kuviibua...

 

9 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APASUA ANGA SUMBAWANGA LEO

Nyomi iliyojitokeza kumsikiliza mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa michezo wa mji wa Sumbawanga Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa michezo wa mji wa Sumbawanga 
Nyomi iliyojitokeza kumsikiliza mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa michezo wa mji wa Sumbawanga 

 

9 years ago

Bongo5

Professor Jay ni mbunge mteule wa Mikumi

Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Professor Jay amechaguliwa kuwa mbunge wa Mikumi mkoani Morogoro. Jay ambaye alikuwa anawania ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA, ametangazwa rasmi kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 32,259 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Jonas Nkya wa CCM aliyepata kura 30,425. Kwa mujibu wa ITV, msimamizi […]

 

10 years ago

Vijimambo

Hatimaye Profesa J atangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Mikumi

Profesa J ametangaza rasmi kuwa atagombea nafasi ya ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro.Akiongea na 255 ya Clouds, rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, amesema:Unajua nimeamua kugombea jimbo la Mikumi kwa kuwa hapa ni nyumbani. Wazazi wangu waliishi hapa kwa muda mrefu maana babu yangu alihamia hapa kama miaka 58 iliyopita. Baba pia yupo hapa japo wao ni watu wenye asili ya mkoa wa Ruvuma. Kwahiyo nimeona nimekuwa nikiimba siasa sana naona huu ni muda wa kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Profesa Jay alia wasanii wanavyoibiwa

MKALI wa hip hop nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, ameonyesha kuendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii, huku akidai mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa Jay kupitia ukurasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani