Professor Jay ni mbunge mteule wa Mikumi
Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Professor Jay amechaguliwa kuwa mbunge wa Mikumi mkoani Morogoro. Jay ambaye alikuwa anawania ubunge kupitia tiketi ya CHADEMA, ametangazwa rasmi kuwa mbunge mteule wa jimbo hilo baada ya kupata kura 32,259 dhidi ya mpinzani wake wa karibu, Jonas Nkya wa CCM aliyepata kura 30,425. Kwa mujibu wa ITV, msimamizi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Mbunge Professor Jay kutimiza aahidi hii jimboni kwake…
Ni headlines za mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay ambaye amezungumza na ripota wa millardayo.com kuhusiana na kutekeleza kile alichokiahidi wakati wa kampeni. ‘Ni kweli na moja kati ya vitu nilivyoahidi wakati wa kampeni zangu ni kwangu niliwambia wananchi kwamba wakinipa ubunge katika jimbo la Mikumi basi nitahakikisha kuwa naboresha sekta […]
The post Mbunge Professor Jay kutimiza aahidi hii jimboni kwake… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo526 Aug
Nikiwa mbunge msinitegemee sana kuongelea matatizo ya wasanii — Professor Jay
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Ni headlines za Mbunge Professor Jay leo Dec 22 Jimboni kwake Mikumi…(+Picha)
Dec 22, 2015 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay amefanya mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake kwa kumchagua kuwa mbunge wa jimbo hilo. Mbunge huyo pia aliweza kuwaruhusu wananchi wake wazungumze kero mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao. Hizi ni baadhi ya picha kutoka eneo ambalo mkutano huo ulipofanyika leo […]
The post Ni headlines za Mbunge Professor Jay leo Dec 22 Jimboni kwake Mikumi…(+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29…
Ikiwa Dec 29 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii na mbunge wa Mikumi,Mh Joseph Haule aka Professor Jay ameamua kuchukua maamuzi ya kufanya usafi kwenye ofisi aliyokabidhiwa leo huko jimboni Mikumi Morogoro. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mbunge huyo aliandika..’Asante sana Mungu leo nimetimiza miaka 40 tangu nimezaliwa …. I dedicate this birthday kwa […]
The post Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-EB9Y9fLn_pM/VmeJBvJ05YI/AAAAAAAAXY8/xoo9X360o4Q/s72-c/FB_IMG_1449624403393.jpg)
9 years ago
Bongo505 Jan
Professor J kuihamishia studio yake Mikumi
![Professor akiwa kwenye shughuli za kisiasa](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/Professor-akiwa-kwenye-shughuli-za-kisiasa-300x194.jpg)
Msanii mkongwe wa Hip Hop na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Professor Jay’, amesema ana mpango wa kuihamishia studio ya Mwanalizombe kwenye jimbo lake ili aweze kutekeleza ahadi ya kuinua sanaa.
Akizungumza na gazeti la Mtanzania Jumatatu hii, Professor Jay alisema moja ya ahadi alizowaahidi wakazi wa Mikumi kwenye kampeni zake ni kuibua vipaji vipya.
“Mikumi kuna vipaji vingi vya muziki lakini hakuna aliyeweza kuviibua kwa miaka mingi, ila mimi nikiwa kama Mbunge wao nitatekeleza...
11 years ago
GPL31 Jul
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JcikeZL6OiJrW84dxfHT5jNZuKAQmzRvYqc*K-2G3InKzUGpM-TYTBRiSQZvOMzG997ebC*SB6p5nT1x7ysoUfJOn8bGcwAj/5.jpg?width=650)
PROFESA JAY APASUA ANGA MIKUMI
9 years ago
Mtanzania04 Jan
PROFESA JAY aipeleka ‘Mwanalizombe’ Mikumi
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, amesema ana mpango wa kuihamishia studio ya Mwanalizombe kwenye jimbo lake ili aweze kutekeleza ahadi ya kuinua sanaa. Akizungumza na MTANZANIA, Profesa Jay alisema kuwa moja ya ahadi alizowaahidi
wakazi wa Mikumi kwenye kampeni zake ni kuibua vipaji vipya ndiyo maana ameamua kuihamishia studio hiyo huko ili aweze kutekeleza ahadi hiyo.
“Mikumi kuna vipaji vingi vya muziki lakini hakuna aliyeweza kuviibua...