Nikiwa mbunge msinitegemee sana kuongelea matatizo ya wasanii — Professor Jay
Wasanii wasitegemee msaada wa maana pindi Professor Jay akiingia bungeni. Rapper huyo anayewania ubunge kwenye jimbo la Mikumi mkoani Morogoro amesema atatumia wadhifa huo kuwahudumia wananchi wa Mikumi. Professor amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa atakuwa mbunge wa watu wa Mikumi hivyo atatumia muda kuwatumikia watu wake. “Nimewaambia wasanii wangu na […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo527 Oct
Professor Jay ni mbunge mteule wa Mikumi
9 years ago
Bongo518 Nov
Ujumbe wa Sugu kwa Professor Jay kuhusu lawama za wasanii

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu na Mbunge wa jimbo la Mikumi Mhe. Joseph Haule a.k.a Professor Jay, ni wasanii wa muziki ambao wamefanikiwa kuingia kwenye Bunge la 11 baada ya kushinda kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Kupitia 255 ya XXL Sugu ambaye alikuwa Mbunge kwenye bunge lililopita, amempa ushauri Professor ambaye ndio ameingia mjengoni kwa mara ya kwanza kuhusu malalamiko kutoka kwa wasanii.
“Unajua wasanii wamekuwa wakilalamika kuhusu uwepo wangu...
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Mbunge Professor Jay kutimiza aahidi hii jimboni kwake…
Ni headlines za mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay ambaye amezungumza na ripota wa millardayo.com kuhusiana na kutekeleza kile alichokiahidi wakati wa kampeni. ‘Ni kweli na moja kati ya vitu nilivyoahidi wakati wa kampeni zangu ni kwangu niliwambia wananchi kwamba wakinipa ubunge katika jimbo la Mikumi basi nitahakikisha kuwa naboresha sekta […]
The post Mbunge Professor Jay kutimiza aahidi hii jimboni kwake… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Ni headlines za Mbunge Professor Jay leo Dec 22 Jimboni kwake Mikumi…(+Picha)
Dec 22, 2015 Mbunge wa jimbo la Mikumi mkoani Morogoro, Mh. Joseph Haule aka Professor Jay amefanya mkutano wa kuwashukuru Wananchi wake kwa kumchagua kuwa mbunge wa jimbo hilo. Mbunge huyo pia aliweza kuwaruhusu wananchi wake wazungumze kero mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao. Hizi ni baadhi ya picha kutoka eneo ambalo mkutano huo ulipofanyika leo […]
The post Ni headlines za Mbunge Professor Jay leo Dec 22 Jimboni kwake Mikumi…(+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29…
Ikiwa Dec 29 ni siku ya kuzaliwa kwa msanii na mbunge wa Mikumi,Mh Joseph Haule aka Professor Jay ameamua kuchukua maamuzi ya kufanya usafi kwenye ofisi aliyokabidhiwa leo huko jimboni Mikumi Morogoro. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mbunge huyo aliandika..’Asante sana Mungu leo nimetimiza miaka 40 tangu nimezaliwa …. I dedicate this birthday kwa […]
The post Maamuzi ya Mbunge Professor Jay kwenye siku yake ya kuzaliwa Dec 29… appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Bongo506 Oct
Professor Jay: video za ‘Tatu Chafu’ & ‘Kipi Sijasikia’ zimewagawanya sana watu
10 years ago
Vijimambo
Ruge Afunguka Kwanini Baadhi ya Wasanii Wanamchukia...Adai Lady Jay Dee Waliniumiza Kichwa Sana

Ruge Mutahaba anaweza kuwa ametajwa kwenye masakata mengi ya ubaya dhidi ya wasanii, akibebeshwa lawama kuliko mtu mwingine yeyote kwenye tasnia ya muziki, lakini kwake ni mambo matatu tu ndiyo anaona yamemsumbua sana.Mtaje Mr ll, mtaje Lady Jay Dee na mtaje Q Chief, utakuwa umemkumbusha mbali mkurugenzi huyo wa vipindi wa Clouds Media, ambaye pia amefanya kazi ya kusimamia wasanii wengi na ndiye kiongozi wa chuo cha Tanzania House of Talents (THT).
Katika makala haya, Ruge anazungumzia mambo...
11 years ago
GPL31 Jul
10 years ago
AllAfrica.Com29 Oct
Professor Jay Wins Parliamentary Seat
AllAfrica.com
Tanzanian legendary hip-hop artiste Joseph Haule aka Professor Jay is the new Mikumi Constituency member of parliament. The 40-year-old rapper, who so far has five solo studio albums, beat his fellow contestants in a hotly-contested elections that ...