Professor Jay: video za ‘Tatu Chafu’ & ‘Kipi Sijasikia’ zimewagawanya sana watu
Professor Jay amesema video za nyimbo zake mbili ‘Kipi Sijasikia’ na ‘Tatu Chafu’ alizoziachia mwezi uliopita zimekuwa na ushindani mkubwa, kiasi cha kuwagawa mashabiki ambao wapo waliopenda zaidi ‘Tatu Chafu’ na wengine ‘Kipi Sijasikia’. “Kitu kikubwa ambacho kimenionesha ni kwamba hizi video zinachuana sana yaani zimewaganwanya watu” Professor Jay ameiambia Bongo 5. “Hizi video zimewagawanya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo515 Sep
New Music Videos: Professor Jay – Tatu Chafu & Kipi Sijasikia
Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video zake mbili kwa mpigo,’Tatu Chafu’ aliyofanya na director Hefemi pamoja na Kipi Sijasikia iliyoongozwa na Adam Juma.
10 years ago
Bongo522 Aug
Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)
Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EcbC6jILNn2htLB4wyR*iiawEpnbxPzOijVgNCqPGlalR0a3lyNGBAi0Joa3R0jqwNz8NLL72j1EEghGkbyHrDJUM58lAs5x/PROFESAJ.jpg?width=650)
11 years ago
Bongo512 Jul
Picha:Professor Jay aanza ku-shoot video ya ‘Kipi Sijasikia’ ,P-Funk kuwa hakimu
Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond. Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu Katika picha ambazo zimetoka hivi punde zimemuonyesha prodyuza mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani akiwa na vazi la hakimu wa mahakama huku Professor […]
10 years ago
Michuzi26 Sep
11 years ago
GPL04 Apr
11 years ago
Bongo510 Jul
Wewe ni shabiki wa professor Jay? Atoa mwaliko kwa anayetaka kutokea kwenye video ya ‘Kipi Sijasikia’ Jumamosi hii (July 12)
Rapper mkongwe Professor Jay anatarajia kushoot video ya single yake ya sasa ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz weekend hii. Kupitia Instagram Jay ametoa mwaliko kwa shabiki wake yeyote atakayependa kuonekana kwenye video hiyo itakayoanza kurekodiwa Jumamosi hii (July 12). “KINGS and QUEENS wote Mnakaribishwa kwenye Video shooting ya KIPI SIJASIKIA, MUHIMU; Vigezo na Masharti Kuzingatiwa!!!” […]
11 years ago
Bongo531 Jul
New Music: Professor Jay f/ J Hustle & Nigga J – Tatu Chafu
Profesa Jay ameachia ngoma yake mpya, ‘Tatu Chafu’ iliyofanyika kwenye studio yake, Mwanalizombe Records chini ya producer, Villy. Kwenye ngoma hii, Professor J amewashirikisha J Hustle (ambaye ni Prof aliyekuwa underground mwenye hasira na Nigga J aliyekuwa Hard Blasters Crew (HBC) na Professor J ndio yule ‘The Heavy Weight MC’.
10 years ago
Michuzi16 Sep
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania