Prof jay ft Diamond Kipi Sijasikia Official Video
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziUTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA "KIPI SIJASIKIA" WA PROF JAY NA DIAMOND UNAENDELEA CHINI YA NEXT LEVEL
Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level Diamond kama wakili wa Profesa JKwa picha zaidi BOFYA HAPA
11 years ago
GPLMAANDALIZI YA VIDEO YA PROF FT DIAMOND - KIPI SIJASIKIA
Msanii mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule 'Prof Jay' jana alikuwa akishoot video yake mpya aliyomshirikisha staa Diamond Platnumz inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo iliyokuwa ikichukuliwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video imesimamiwa wa Adam Juma kutoka Next Level.…
10 years ago
Michuzi26 Sep
11 years ago
GPL04 Apr
10 years ago
Bongo522 Aug
Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)
Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.
10 years ago
GPL11 years ago
Bongo512 Jul
Picha:Professor Jay aanza ku-shoot video ya ‘Kipi Sijasikia’ ,P-Funk kuwa hakimu
Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond. Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu Katika picha ambazo zimetoka hivi punde zimemuonyesha prodyuza mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani akiwa na vazi la hakimu wa mahakama huku Professor […]
11 years ago
Bongo510 Jul
Wewe ni shabiki wa professor Jay? Atoa mwaliko kwa anayetaka kutokea kwenye video ya ‘Kipi Sijasikia’ Jumamosi hii (July 12)
Rapper mkongwe Professor Jay anatarajia kushoot video ya single yake ya sasa ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz weekend hii. Kupitia Instagram Jay ametoa mwaliko kwa shabiki wake yeyote atakayependa kuonekana kwenye video hiyo itakayoanza kurekodiwa Jumamosi hii (July 12). “KINGS and QUEENS wote Mnakaribishwa kwenye Video shooting ya KIPI SIJASIKIA, MUHIMU; Vigezo na Masharti Kuzingatiwa!!!” […]
10 years ago
GPL23 Aug
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania