KIONJO CHA VIDEO MPYA YA PROFESA JAY 'KIPI SIJASIKIA'
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EcbC6jILNn2htLB4wyR*iiawEpnbxPzOijVgNCqPGlalR0a3lyNGBAi0Joa3R0jqwNz8NLL72j1EEghGkbyHrDJUM58lAs5x/PROFESAJ.jpg?width=650)
10 years ago
Bongo522 Aug
Video Teaser: Kionjo cha video mpya ya Professor Jay ‘Kipi Sijasikia’ (HD)
Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next Level.
10 years ago
Michuzi16 Sep
11 years ago
GPL14 May
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8k2*97pl68w3ttWqYAOmRmTGmAHW9-QgTAC1lBYpXlImVhwgu0h3x3DL9k2-nXmPEoPJkQEPLOcXWQgqYWvB4HDb98Cw5GA5/001.JAYMILLIONSMAWASILIANO.jpg)
BALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM'JAY'AWALIPIA ABIRIA WOTE NAULI WA KITUO CHA MAWASILIANO JIJINI
Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daudâ€Zembwelaâ€(kushoto)akimkabidhi fedha mmoja wa abiria wa basi linalofanya safari zake kutoka kituo cha mabasi cha mawasiliano cha ubungo kwenda Mwananyamala jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwalipia abiria wenzake nauli ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha wateja wa kampuni hiyo kutuma neno Jay kwenda 15544 ili kujua kama wameshinda. Mkazi...
11 years ago
Bongo512 Jul
Picha:Professor Jay aanza ku-shoot video ya ‘Kipi Sijasikia’ ,P-Funk kuwa hakimu
Msanii wa muziki wa Hip Hop Professor Jay ameanza ku-shoot video ya wimbo ‘Kipi Sijasika’ ambao amemshirikisha msanii Diamond. Professor Jay akiwa na pingu mkononi na P-Funk akiwa kwenye vazi la hakimu Katika picha ambazo zimetoka hivi punde zimemuonyesha prodyuza mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani akiwa na vazi la hakimu wa mahakama huku Professor […]
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-30jAv21U_vg/U8Gv319ghlI/AAAAAAAF1sw/afzmCpRYajw/s72-c/unnamed+(44).jpg)
UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA "KIPI SIJASIKIA" WA PROF JAY NA DIAMOND UNAENDELEA CHINI YA NEXT LEVEL
![](http://4.bp.blogspot.com/-30jAv21U_vg/U8Gv319ghlI/AAAAAAAF1sw/afzmCpRYajw/s1600/unnamed+(44).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-MR-okWfcdSg/U8Gv3z6b4kI/AAAAAAAF1so/hNlJT7Ryx3Q/s1600/unnamed+(45).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-FlcY5A_0XjU/U8G004UuBmI/AAAAAAAF1tE/5lN2b3ZfTzc/s1600/unnamed+(47).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jbTTTvx4A6c/U8Gv3-hx-TI/AAAAAAAF1sk/gomxDy1stvE/s1600/unnamed+(46).jpg)
11 years ago
Bongo510 Jul
Wewe ni shabiki wa professor Jay? Atoa mwaliko kwa anayetaka kutokea kwenye video ya ‘Kipi Sijasikia’ Jumamosi hii (July 12)
Rapper mkongwe Professor Jay anatarajia kushoot video ya single yake ya sasa ‘Kipi Sijasikia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz weekend hii. Kupitia Instagram Jay ametoa mwaliko kwa shabiki wake yeyote atakayependa kuonekana kwenye video hiyo itakayoanza kurekodiwa Jumamosi hii (July 12). “KINGS and QUEENS wote Mnakaribishwa kwenye Video shooting ya KIPI SIJASIKIA, MUHIMU; Vigezo na Masharti Kuzingatiwa!!!” […]
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania