VICTORIA KIMANI FT OMMY DIMPOZ,DIAMOND-PROKOTO 'KIONJO'
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL28 Aug
11 years ago
Bongo513 Jul
Behind the scenes: Picha 15 za shooting ya video ya wimbo wa Victoria Kimani f/ Diamond & Ommy Dimpoz-Prokoto
Hizi ni picha za ‘behind the scenes’ za uchukuaji wa video ya wimbo wa muimbaji wa Kenya, Victoria Kimani uitwao ‘Prokoto’, ambao kawashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond. Video ilifanyika Ijumaa (July 11) jijini Dar es salaam na kuongozwa na director wa Kenya Kevin Bosco.
10 years ago
Bongo514 Aug
New Video: Victoria kimani aachia video ya ‘Prokoto’ aliyoshoot Tanzania na kuwashirikisha Diamond na Dimpoz
Mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ameachia video yake mpya ya ‘Prokoto’ aliyowashirikisha mastaa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz. Victoria ambaye pia yuko chini ya label ya Chocolate City ya Nigeria wiki chache zilizopita alimleta director wa Kenya, Kevin Bosco Jr na kushoot ‘Prokoto’ katika mazingira ya Dar es salaam. Audio imefanywa na […]
10 years ago
GPLOMMY DIMPOZ 'POZI KWA POZI' NAYE ATUA GLOBAL TV ONLINE LEO
Ommy Dimpoz akipoza kiu ndani ya studio za Global TV Online leo wakati akifanyiwa mahojiano. Dimpoz katika pozi murua ndani ya studio za Global TV Online leo.…
10 years ago
GPL23 Aug
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania