Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI NYINGINE TENA MIKUMI

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro. Ajali hiyo imetokea leo mchana ikiwa ni muda mfupi baada ya ajali nyingine kutokea leo ikihusisha magari matatu kwenye Kijiji cha Mbweni, Handeni mkoani Tanga na kuua watu 10. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO

 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi wote wapate nafuu haraka.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya mabasi yaua 12 Handeni, Mikumi

>Watu 12 wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea Handeni, Tanga na Mikumi, Morogoro zikihusisha mabasi ya abiria.

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA MIKUMI WATU 7 WALIPOTEZA MAISHA

 Ajali ya mabasi iliyotokea jana MikumiWatu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 48 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Msanga Line walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Luwinzo katika eneo la hifadhi ya taifa ya Mikumi, wilaya Kilosa, Morogoro.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 6:45 mchana, baada ya basi la Msanga Line linalosafiri Dar es Salaam kwenda Mahenge, wilayani Ulanga, Morogoro kugongana na basi la Luwinzo lililokuwa linatoka Njombe kwenda Dar...

 

11 years ago

GPL

BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MIKUMI MKOANI MORO

Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro muda mfupi uliopita. BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP, KAMA UNA MATUKIO KAMA HAYA, TUTUMIE KUPITIA NAMBA YETU YA WHATSAPP 0753...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali nyingine yaua 13

WATU 13 wamefariki dunia papo hapo  na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Itigi kwenda mkoani Singida kupata ajali katika Kijiji cha Isuna, Wilaya ya Ikungi, mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZ: BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI JIONI HII ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Baadhi ya abiria waliokuwemo kwenye basi la Princess Muro walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Mkoani Mbeya kuja jijini Dar es Salaam wakiwa hawajui la kufanya baada ya Basi hilo kupinduka jini hii katika eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi,Mkoani Morogoro.
TAARIFA KAMILI ITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

 

10 years ago

Bongo5

Davido kuja Tanzania kwa mara nyingine tena

Hitmaker wa ‘Skelewu’ Davido wa Nigeria anatarajia kuja nchini Tanzania kwa mara nyingine tena. Mwaka jana msanii huyo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta, jijini Dar es Salaam. Hata hivyo haijaweza kujulikana mapema iwapo atakuwepo pia kwenye Fiesta ya Dar mwaka huu. Kuna tetesi zingine kuwa kituo kingine kikubwa cha redio cha Dar […]

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali nyingine ya basi yaua 10 Shinyanga

Shinyanga. Jinamizi la ajali za barabarani zikihusisha mabasi zimeendelea kugharimu maisha ya Watanzania baada ya jana watu 10 kupoteza maisha na wengine 50 kujeruhiwa vibaya wakati basi la Unique Express lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora kugongana uso kwa uso na lori la Coca-Cola lililokuwa likitokea Tinde kuelekea Shinyanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani