Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali ya mabasi yaua 12 Handeni, Mikumi

>Watu 12 wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea Handeni, Tanga na Mikumi, Morogoro zikihusisha mabasi ya abiria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AJALI YAUA 12 HANDENI, TANGA

Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la Burudani kutoka Korogwe kwenda Dar es Salaam kupinduka katika kijiji cha Taula wilayani Handeni mkoani Tanga. Chanzo: East Africa Radio

 

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua 4 Moshi, yajeruhi 3 Handeni

Lori likiwaka moto wilayani Handeni.WATU wanne wamekufa na watatu wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti, zilizotokea Moshi mkoani Kilimanjaro na Handeni mkoani Tanga.

 

11 years ago

Mwananchi

Sasa tuseme ajali za mabasi zimetosha ajali hizi basi

Kwa mara nyingine, nchi yetu imepata janga jingine kubwa baada ya ajali mbili kutokea katika mikoa ya Pwani na Kilimanjaro mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo kwa watu zaidi ya 30.

 

10 years ago

GPL

AJALI NYINGINE TENA MIKUMI

Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia baada ya basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Mbeya kupata ajali na kutumbukia kwenye mfereji katika eneo la Mikumi mkoani Morogoro. Ajali hiyo imetokea leo mchana ikiwa ni muda mfupi baada ya ajali nyingine kutokea leo ikihusisha magari matatu kwenye Kijiji cha Mbweni, Handeni mkoani Tanga na kuua watu 10. ...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI YA MIKUMI WATU 7 WALIPOTEZA MAISHA

 Ajali ya mabasi iliyotokea jana MikumiWatu saba wamefariki dunia na wengine zaidi ya 48 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Msanga Line walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Luwinzo katika eneo la hifadhi ya taifa ya Mikumi, wilaya Kilosa, Morogoro.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 6:45 mchana, baada ya basi la Msanga Line linalosafiri Dar es Salaam kwenda Mahenge, wilayani Ulanga, Morogoro kugongana na basi la Luwinzo lililokuwa linatoka Njombe kwenda Dar...

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO

 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi wote wapate nafuu haraka.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 

 

11 years ago

GPL

BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MIKUMI MKOANI MORO

Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro muda mfupi uliopita. BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP, KAMA UNA MATUKIO KAMA HAYA, TUTUMIE KUPITIA NAMBA YETU YA WHATSAPP 0753...

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi yagongana, yaua watu 13

MABASI mawili yamegongana uso kwa uso wilayani Sikonge mkoani Tabora na kuua abiria 13, wakiwemo madereva wa mabasi hayo na kujeruhi wengine 73. Moja ya mabasi hayo, lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Mpanda na lingine likitokea mkoani Mbeya kwenda Mwanza.

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi 3 yaua 12 Tanga, Moro

Basi la Ngorika lenye namba za usajili T770BKW (kulia) likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Ratco T274DCP lililolala na kufunga barabara eneo la Mkata mkoani Tanga jana na kusababisha vifo vya watu 10. (Na Mpigapicha Wetu).JINAMIZI la ajali limeendelea kugharimu maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha magari manne katika mikoa ya Tanga na Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani