Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabasi yagongana, yaua watu 13

MABASI mawili yamegongana uso kwa uso wilayani Sikonge mkoani Tabora na kuua abiria 13, wakiwemo madereva wa mabasi hayo na kujeruhi wengine 73. Moja ya mabasi hayo, lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Mpanda na lingine likitokea mkoani Mbeya kwenda Mwanza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mabasi yagongana, yaua zaidi ya watu 16

Zaidi ya watu 16 wamefariki dunia baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso jana saa 9:30 alasiri umbali wa kilomita tatu kutoka Sikonge.

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZ....: MABASI MAWILI YAGONGANA USO KWA USO LEO MAENEO YA MKATA MKOANI TANGA, WATU ZAIDI YA 10 WADAIWA KUPOTEZA MAISHA

 Basi la Ngorika likiwa halitamaniki baada ya kugongana uso kwa uso la basi lingine la Kampuni ya RATCO katika ajali iliyotokea mapema leo kwenye eneo la Kijiji cha Mbweni, Mkata mkoani Tanga. kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio,inadaiwa kwamba mpaka sasa ni Watu kumi wamepoteza maisha katika ajali hiyo, akiwepo Dereva wa Basi la Ratco.Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa. Globu ya Jamii inafanya jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa maelezo zaidi.

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi yaua watu wanne Mpanda

WATU wanne wamekufa na wengine 14 wamejeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Wilaya ya Mpanda baada ya basi la Kampuni ya AN kugongana uso kwa uso na gari lingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabasi yagongana na kuua wawili

Watu wawili wamekufa na wengine sita kujeruhiwa baada ya magari matatu kugongana eneo la Kabuku wilayani Handeni mkoani Tanga.

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi 3 yaua 12 Tanga, Moro

Basi la Ngorika lenye namba za usajili T770BKW (kulia) likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Ratco T274DCP lililolala na kufunga barabara eneo la Mkata mkoani Tanga jana na kusababisha vifo vya watu 10. (Na Mpigapicha Wetu).JINAMIZI la ajali limeendelea kugharimu maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa katika ajali mbili tofauti zilizohusisha magari manne katika mikoa ya Tanga na Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya mabasi yaua 12 Handeni, Mikumi

>Watu 12 wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea Handeni, Tanga na Mikumi, Morogoro zikihusisha mabasi ya abiria.

 

10 years ago

Vijimambo

COASTER YAGONGANA USO KWA USO NA LORI JIJINI DAR, WATU ZAIDI YA 40 WANUSURIKA KUFA



Zaidi ya watu 40 wamenusurika kifo huku mmoja akikatika viungo vya miguu na wengine kujeruhika vibaya baada ya lori moja lilionekana kuwa ni la jeshi kugongana uso kwa uso na gari la abiria aina ya COSTA la Ubungo -Tegeta eneo la Tegeta jijini Dar es salaam.Tukio hilo limevuta hisia za mamia ya wakazi wa Tegeta huku baadhi ya mafundi gereji wa Tegeta wakijaribu kutumia vifaa maalumu kukata mabati ya magari kwa nia ya kunasua baadhi ya majeruhi walionasa ndani ya COASTA hiyo kusuru abiria...

 

10 years ago

Habarileo

Mvua yaua watu 38 Kahama

Wakazi wa Kahama mkoani Shinyanga wakipita kwenye eneo lililofurika maji kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo iliyonyesha mkoani humo juzi.MAAFA makubwa yameikumba Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya watu 38 kufa papo hapo na wengine 82 kujeruhiwa, kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha katika Kijiji cha Mwakata Kata ya Isaka.

 

10 years ago

Vijimambo

Hiace yaua watu 12 Arusha


Watu 12 wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Hiace (pichani) maarufu kama kipanya walikokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana majira ya saa 10 katika eneo Makumira wilayani Arumeru.

Sabas, alisema ajali hiyo ilitokea baada ya kipanya hicho aina ya Nissan T519 DBV kilichokuwa kikitokea jijini Arusha kwenda Usa River kuhama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani