Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali nyingine ya basi yaua 10 Shinyanga

Shinyanga. Jinamizi la ajali za barabarani zikihusisha mabasi zimeendelea kugharimu maisha ya Watanzania baada ya jana watu 10 kupoteza maisha na wengine 50 kujeruhiwa vibaya wakati basi la Unique Express lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora kugongana uso kwa uso na lori la Coca-Cola lililokuwa likitokea Tinde kuelekea Shinyanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 5 SHINYANGA

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya basi la Unique lenye namba za usajili T 148 BKK lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora lililogongana na lori la Kampuni ya Coca cola. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye, Shinyanga. Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai kuwa watu wengi wamejeruhiwa katika ajali hiyo na wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali nyingine yaua 13

WATU 13 wamefariki dunia papo hapo  na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Itigi kwenda mkoani Singida kupata ajali katika Kijiji cha Isuna, Wilaya ya Ikungi, mkoani...

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali nyingine yaua mmoja, yajeruhi 28

air jordanNa Thomas Murugwa, Tabora
BASI la Kampuni ya Air Jordan lenye namba za usajili T 650 AQZ lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Arusha, limepata ajali katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Kitangili, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi 28.
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jackline Liana, imemtaja aliyefariki dunia kwa jina moja la Emmanuel ambaye alikuwa ni fundi wa gari hilo.
Alisema sababu ya ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva ambaye jina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali nyingine yaua kumi Busega

ZAIDI ya watu 10 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya basi iliyotokea jana katika Kijiji cha Yitwimila ‘A’, Kitongoji cha Ichila, Kata ya Kaloleni, Tarafa ya Busega, mkoani...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watatu, nyingine yajeruhi 21

Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya lori la mafuta walilokuwa wamepanda kupinduka na kuwaka moto eneo la Wedi, katika Kijiji cha Maseyu mkoani Morogoro, huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali nyingine iliyotokea Kimara, Dar es Salaam.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajali nyingine ya Ndege yaua zaidi ya 40

Ndege ya TransAsia ya Taiwan imedondokawakati ikitua na kuua zaidi ya 40.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali nyingine yaua watu 23 Mufindi

Watu 23 wamekufa papo hapo na wengine 34 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Another G kugongana na lori eneo la Kinyanambo A, Mafinga wilayani Mufindi, ikiwa ni takriban miezi mitatu baada ya ajali nyingine iliyoua watu 50 katika wilaya hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

AJALI NYINGINE YA BASI YATOKEA MIKUMI LEO

 Ajali ya basi iliyotokea muda si mrefu Mikumi na kusemekana watu 8 wamepoteza maisha na wengine 3 mahututi na sababu ya ajali ni mwendo kasi Vijimambo inaendelea kufuatilia ajali hii kwa karibu na inawapa pole wale wote waliopatwa na msiba ya wapendwa wao na kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwaombea majeruhi wote wapate nafuu haraka.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA

Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya. TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani