Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YA BASI YAUA 5 SHINYANGA

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya basi la Unique lenye namba za usajili T 148 BKK lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora lililogongana na lori la Kampuni ya Coca cola. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye, Shinyanga. Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai kuwa watu wengi wamejeruhiwa katika ajali hiyo na wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ajali nyingine ya basi yaua 10 Shinyanga

Shinyanga. Jinamizi la ajali za barabarani zikihusisha mabasi zimeendelea kugharimu maisha ya Watanzania baada ya jana watu 10 kupoteza maisha na wengine 50 kujeruhiwa vibaya wakati basi la Unique Express lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora kugongana uso kwa uso na lori la Coca-Cola lililokuwa likitokea Tinde kuelekea Shinyanga.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA

Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya. TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajali ya Basi yaua Tanzania

Watu wengi wanahofiwa kufa katika ajali ya Basi linalosemekana kuangukiwa na Kontena.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali ya basi yaua 10, yajeruhi 30

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Simiyu, Charles MkumboWATU 10 wamekufa papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya basi la Luhuye Express lililokuwa likitoka wilayani Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza jana.

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali ya basi yaua 42 Iringa

WATU 42 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba mbao.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi katika eneo la Changalawe, Mafinga mkoani Iringa.
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo aliiambia MTANZANIA kwamba basi hilo namba T438 CDE, mali ya Kampuni ya Majinjah Express lilikuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shuhuda huyo basi hilo liligongana na lori hilo lililokuwa likitoka Iringa...

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA WAWILI LUGOBA

                                       Basi la Smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba.              Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza…

 

9 years ago

Habarileo

Ajali basi la Metro yaua 5, kujeruhi 39

WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Metro, kuacha njia, kutumbukia bondeni na kupinduka.

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi yaua 13 Tanga, JK aomboleza

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Juma NdakiWATU 13 wamekufa na wengine zaidi ya 19 kujeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani, iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Toyota Double Coaster, linalosafiri kati ya mjini Tanga na Lushoto, kugongana na lori la mizigo aina ya Scania, lililokuwa likitokea Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani