Ajali ya basi yaua 13 Tanga, JK aomboleza
WATU 13 wamekufa na wengine zaidi ya 19 kujeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani, iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Toyota Double Coaster, linalosafiri kati ya mjini Tanga na Lushoto, kugongana na lori la mizigo aina ya Scania, lililokuwa likitokea Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
AJALI YA BASI YAUA 5 SHINYANGA
10 years ago
Habarileo07 Nov
Ajali ya basi, treni yaua 12
MATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.
11 years ago
GPL
AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Ajali ya basi yaua 42 Iringa
WATU 42 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa limebeba mbao.
Ajali hiyo ilitokea jana asubuhi katika eneo la Changalawe, Mafinga mkoani Iringa.
Mmoja wa mashuhuda wa ajali hiyo aliiambia MTANZANIA kwamba basi hilo namba T438 CDE, mali ya Kampuni ya Majinjah Express lilikuwa likitoka Mbeya kwenda Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shuhuda huyo basi hilo liligongana na lori hilo lililokuwa likitoka Iringa...
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Ajali ya Basi yaua Tanzania
11 years ago
Habarileo22 Apr
Ajali ya basi yaua 10, yajeruhi 30
WATU 10 wamekufa papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya basi la Luhuye Express lililokuwa likitoka wilayani Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza jana.
11 years ago
GPL
AJALI YA BASI YAUA WAWILI LUGOBA
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Ajali ya basi yaua wanne Iringa
Na Mwandishi Wetu, Iringa
WATU wanne wamefariki dunia katika ajali ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Ajali hiyo ilitokea jana wilayani hapa kwa kuhusisha basi hilo lenye namba za usajili T 782 ACR linalofanya safari zake kati ya Njombe na Dar es salaam ambalo lilipata ajali asubuhi katika eneo la Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa.
Basi hilo lililokuwa likisafiri kutokea Njombe kuelekea Dar es Salaam liligongana na lori lenye namba za usajilli T 718...
10 years ago
Habarileo16 Sep
Ajali basi la Metro yaua 5, kujeruhi 39
WATU watano wamekufa papo hapo na wengine 39 kujeruhiwa vibaya baada ya basi la Kampuni ya Metro, kuacha njia, kutumbukia bondeni na kupinduka.