Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali nyingine ya Ndege yaua zaidi ya 40

Ndege ya TransAsia ya Taiwan imedondokawakati ikitua na kuua zaidi ya 40.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali nyingine yaua 13

WATU 13 wamefariki dunia papo hapo  na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Itigi kwenda mkoani Singida kupata ajali katika Kijiji cha Isuna, Wilaya ya Ikungi, mkoani...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watatu, nyingine yajeruhi 21

Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya lori la mafuta walilokuwa wamepanda kupinduka na kuwaka moto eneo la Wedi, katika Kijiji cha Maseyu mkoani Morogoro, huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali nyingine iliyotokea Kimara, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali nyingine yaua kumi Busega

ZAIDI ya watu 10 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya basi iliyotokea jana katika Kijiji cha Yitwimila ‘A’, Kitongoji cha Ichila, Kata ya Kaloleni, Tarafa ya Busega, mkoani...

 

10 years ago

Mtanzania

Ajali nyingine yaua mmoja, yajeruhi 28

air jordanNa Thomas Murugwa, Tabora
BASI la Kampuni ya Air Jordan lenye namba za usajili T 650 AQZ lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Arusha, limepata ajali katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Kitangili, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi 28.
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jackline Liana, imemtaja aliyefariki dunia kwa jina moja la Emmanuel ambaye alikuwa ni fundi wa gari hilo.
Alisema sababu ya ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva ambaye jina...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali nyingine yaua watu 23 Mufindi

Watu 23 wamekufa papo hapo na wengine 34 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Another G kugongana na lori eneo la Kinyanambo A, Mafinga wilayani Mufindi, ikiwa ni takriban miezi mitatu baada ya ajali nyingine iliyoua watu 50 katika wilaya hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali nyingine ya basi yaua 10 Shinyanga

Shinyanga. Jinamizi la ajali za barabarani zikihusisha mabasi zimeendelea kugharimu maisha ya Watanzania baada ya jana watu 10 kupoteza maisha na wengine 50 kujeruhiwa vibaya wakati basi la Unique Express lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Tabora kugongana uso kwa uso na lori la Coca-Cola lililokuwa likitokea Tinde kuelekea Shinyanga.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA NDEGE YAUA 48 IRAN

Ndege ya Iran iliyoanguka na kuua watu 48 leo asubuhi. WATU 48 wamefariki dunia baada ya ndege ndogo ya abiria waliyokuwemo kuanguka katika makazi ya watu jirani na Uwanja wa Ndege wa Mehrabad uliopo magharibi mwa mji wa Tehran nchini Iran leo asubuhi. Ndege hiyo mali ya kampuni ya Taban Air ilikuwa inaelekea katika Jiji la Tabas.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA NDEGE YAUA 51 TAIWAN

Taswira kutoka eneo la ajali. Vikosi vya uokoaji vikiwa eneo la tukio. TAKRIBANI watu 51 wamepoteza maisha huku saba wakijeruhiwa baada ya ndege waliyokuwemo kuanguka iliposhindwa kutua kwa dharura huko Taiwan, nchini China. Ndege hiyo ya Shirika la TransAsia iliyokuwa imebeba watu 58 imeanguka eneo la Kaohsiung,…

 

11 years ago

GPL

AJALI YA NDEGE YA MIZIGO YAUA WANNE KENYA

Ndege ya mizigo baada ya kuanguka. WATU wanne akiwemo rubani wa ndege wamefariki dunia baada ya ndege waliyokuwemo kuanguka leo alfajiri katika eneo la Utawala-Embakasi jijini Nairobi, Kenya. Ndege hiyo ya mizigo iliyokuwa inaelekea Mogadishu nchini Somalia imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi. Kwa mjibu wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya, mwili wa mtu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani