Ajali nyingine yaua watu 23 Mufindi
Watu 23 wamekufa papo hapo na wengine 34 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Another G kugongana na lori eneo la Kinyanambo A, Mafinga wilayani Mufindi, ikiwa ni takriban miezi mitatu baada ya ajali nyingine iliyoua watu 50 katika wilaya hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Ajali nyingine yaua 13
WATU 13 wamefariki dunia papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Itigi kwenda mkoani Singida kupata ajali katika Kijiji cha Isuna, Wilaya ya Ikungi, mkoani...
11 years ago
BBCSwahili24 Jul
Ajali nyingine ya Ndege yaua zaidi ya 40
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ajali yaua watatu, nyingine yajeruhi 21
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Ajali nyingine yaua kumi Busega
ZAIDI ya watu 10 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali ya basi iliyotokea jana katika Kijiji cha Yitwimila ‘A’, Kitongoji cha Ichila, Kata ya Kaloleni, Tarafa ya Busega, mkoani...
10 years ago
Mtanzania16 Apr
Ajali nyingine yaua mmoja, yajeruhi 28
Na Thomas Murugwa, Tabora
BASI la Kampuni ya Air Jordan lenye namba za usajili T 650 AQZ lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Arusha, limepata ajali katika Kijiji cha Ngonho, Kata ya Kitangili, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi 28.
Taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Jackline Liana, imemtaja aliyefariki dunia kwa jina moja la Emmanuel ambaye alikuwa ni fundi wa gari hilo.
Alisema sababu ya ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva ambaye jina...
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Ajali nyingine ya basi yaua 10 Shinyanga
10 years ago
GPL
AJALI YAUA WATU 42 UFARANSA
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Ajali yaua watu 17 Tanzania
10 years ago
Mtanzania17 Sep
Ajali yaua watu watatu, yajeruhi 51
Victor Bariety na Emanuel Ibrahim, Geita
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 51 kujeruhiwa mkoani Geita, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasua gurudumu kisha kupinduka.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo alisema watu walifaki dunia katika ajali hiyo majina yao hajatambuliwa kutokana na miili yao kuharibika vibaya.
Alisema ajali hiyo, iliyotokea saa 3;30 asubuhi katika eneo la Nyantorotoro, ilihusisha basi la Sheraton lenye namba...