AJALI YAUA WATU 42 UFARANSA
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/86.jpg)
Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wakipatiwa huduma ya kwanza. TAKRIBANI watu 42 waliokuwa wakienda kutalii wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori katika barabara moja kusini magharibi mwa Ufaransa kisha magari yote kuungua kwa moto. Ajali hiyo imetokea karibu na Puisseguin eneo la Gironde mashariki mwa Bordeaux, muda mfupi baada ya basi hilo kuanza safari kutoka mji ulio karibu. Rais wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi15 Nov
Mashambulizi ya magaidi yatikisa Ufaransa, yaua watu 127
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Puisseguin-1.jpg)
WATU 40 WAFARIKI KWA AJALI UFARANSA
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Ajali yaua watu 17 Tanzania
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Ajali mbaya yaua watu 22 Rufiji
11 years ago
Habarileo27 May
Ajali yaua watu wawili Bagamoyo
WATU wawili wamekufa na wengine wanne wamejeruhiwa baada ya magari waliyokuwa wakisafiria, kugongana eneo la Bwawani Kata ya Ubena Tarafa ya Chalinze wilayani Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani.
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Ajali yaua watu watatu, yajeruhi 51
Victor Bariety na Emanuel Ibrahim, Geita
WATU watatu wamefariki dunia na wengine 51 kujeruhiwa mkoani Geita, baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupasua gurudumu kisha kupinduka.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo alisema watu walifaki dunia katika ajali hiyo majina yao hajatambuliwa kutokana na miili yao kuharibika vibaya.
Alisema ajali hiyo, iliyotokea saa 3;30 asubuhi katika eneo la Nyantorotoro, ilihusisha basi la Sheraton lenye namba...
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Ajali nyingine yaua watu 23 Mufindi
10 years ago
CloudsFM17 Dec
ajali yaua watu saba Tabora
Basi la kampuni ya Mohammed Trans limepata ajali mbaya Igunga ambapo watu saba wanadaiwa kupoteza maisha katika eneo la Makomero wilayani Igunga, mkoani Tabora.
Inadaiwa kuwa mbali na kuua pia abiria wengi wamejeruhiwa baada ya basi hilo la Mohammed Trans kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka huku kukiwa na taarifa zingine kuwa ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kugonga shimo.
Basi hilo limepinduka jana majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-mZfMYN2tI4s/VSiqHmtvlWI/AAAAAAAAaf8/EpfutDwFLzg/s72-c/2.jpg)
AJALI YA LORI NA PAWATILA YAUA WATU 7 MANYARA
![](http://1.bp.blogspot.com/-mZfMYN2tI4s/VSiqHmtvlWI/AAAAAAAAaf8/EpfutDwFLzg/s640/2.jpg)
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba wakulima waliokuwa wakitokea shambani kuvuna maharage katika kijiji cha Getasam.
Kamanda Fuime alisema kwamba...