Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ajali yaua watu saba Tabora

Basi la kampuni ya Mohammed Trans limepata ajali mbaya Igunga ambapo watu saba wanadaiwa kupoteza maisha katika eneo la Makomero wilayani Igunga, mkoani Tabora.Inadaiwa kuwa mbali na kuua pia abiria wengi wamejeruhiwa baada ya basi hilo la Mohammed Trans kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka huku kukiwa na taarifa zingine kuwa ajali hiyo imetokea baada ya basi hilo kugonga shimo. Basi hilo limepinduka jana majira ya saa nane mchana, ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA SABA, NA KUJERUHI TABORA

Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea. Watu saba wamefariki Igunga, mkoani  Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua saba Chalinze

WATU saba wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo. Ajali hiyo ilitokea juzi majira ya saa 2:30 usiku...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 16 NA KUJERUHI 75 TABORA

Watu 16 wamepoteza maisha huku 75 wakijeruhiwa baada ya basi la AM likitoka Mwanza-Mpanda kugongana na basi lingine la Sabena linalofanya safari zake Mbeya - Tabora katika eneo la Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua, yajeruhi watano Tabora

>Mtu mmoja amekufa na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser mali ya Kampuni ya Tumbaku ya Alliance One, iliyotokea eneo la Ilolangulu wilayani Uyui.

 

10 years ago

Michuzi

BREANKING NYUZZZ.....: ZAIDI YA WATU 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA MABASI ILIYOTOKEA MCHANA HUU MJINI MUSOMA ANEO MAARUFU LA SABA SABA

 Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Silari Mkoani Mara likiwa limeharibika vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba,Mjini Musoma mchana huu.

Watu zaidi ya 35 wamepoteza maisha papo hapo na wengine zaidi ya 86 kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa Ripota wetu aliopo eneo la tukio hivi sasa,inaelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo Basi la J4...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mifuko ya magari yaua watu saba

Mamlaka ya usalama nchini Marekani wamependekeza kampuni ya Takata, kupigwa faini ya zaidi ya dola za kimarekani milioni mbili baada ya mifuko hiyo kusababisha vifo vya watu saba .

 

9 years ago

GPL

AJALI YAUA WATU 42 UFARANSA

Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wakipatiwa huduma ya kwanza. TAKRIBANI watu 42 waliokuwa wakienda kutalii wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori katika barabara moja kusini magharibi mwa Ufaransa kisha magari yote kuungua kwa moto. Ajali hiyo imetokea karibu na Puisseguin eneo la Gironde mashariki mwa Bordeaux, muda mfupi baada ya basi hilo kuanza safari kutoka mji ulio karibu. Rais wa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajali yaua watu 17 Tanzania

Watu 17 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea mkoa wa Dodoma katikati mwa Tanzania.

 

11 years ago

Habarileo

Ajali zaua watu saba

WATU saba wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali za barabarani na majini wilayani Bunda Mkoa wa Mara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani