AJALI YA NDEGE YA MIZIGO YAUA WANNE KENYA
Ndege ya mizigo baada ya kuanguka. WATU wanne akiwemo rubani wa ndege wamefariki dunia baada ya ndege waliyokuwemo kuanguka leo alfajiri katika eneo la Utawala-Embakasi jijini Nairobi, Kenya. Ndege hiyo ya mizigo iliyokuwa inaelekea Mogadishu nchini Somalia imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta uliopo Nairobi. Kwa mjibu wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya, mwili wa mtu...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili02 Jul
Ajali ya ndege yawauwa wanne Kenya
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Ajali yaua wanne Makatanini
WATU wanne wamefariki na 32 kujeruhiwa baada ya basi la abiria la Polepole, trekta na bajaji kugongana eneo la Makatanini, wilaya ya Babati mkoa wa Manyara. Kaimu Kamanda wa Polisi...
10 years ago
Habarileo12 Apr
Ajali ya basi yaua wanne Dodoma
WATU Wanne wamekufa na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Nyahunge lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Morogoro kugongana na gari dogo eneo la Nzuguni Mjini hapa.
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Ajali ya basi yaua wanne Iringa
Na Mwandishi Wetu, Iringa
WATU wanne wamefariki dunia katika ajali ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Ajali hiyo ilitokea jana wilayani hapa kwa kuhusisha basi hilo lenye namba za usajili T 782 ACR linalofanya safari zake kati ya Njombe na Dar es salaam ambalo lilipata ajali asubuhi katika eneo la Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa.
Basi hilo lililokuwa likisafiri kutokea Njombe kuelekea Dar es Salaam liligongana na lori lenye namba za usajilli T 718...
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Ajali yaua padri na wengine wanne
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WATU watano, akiwemo Padri wa Kanisa Katoliki, Paulo Mwanyalila, wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea mkoani Mbeya.
Katika ajali hiyo iliyomwua Padri Mwanyanyila, gari lenye namba za usajili T241 BKZ aina ya Toyota Coaster, liligongana na gari liingine ambalo haijafahamika aina wala namba zake za usajili.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema ajali hiyo ilitokea juzi saa moja jioni katika barabara ya Mbeya- Tukuyu, eneo la...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Ajali ya basi yaua wanne Bagamoyo
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Ajali ya basi yaua wanne, wengine 40 wajeruhiwa
11 years ago
Michuzi28 Mar
wawili wapoteza maisha, saba wajeruhiwa na wanne hawajulikani walipo baada ya ajali ya treni ya mizigo gulwe, dodoma
VIFO: Ajali hiyo hadi hivi sasa imesababisha vifo vya watu wawili ambao wamefahamika kwa majina yafuatayo:- 1. Felix s/o Kalonga 2. Ismail @...
11 years ago
GPLAJALI YA NDEGE YAUA 51 TAIWAN