Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali ya basi yaua wanne Dodoma

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeWATU Wanne wamekufa na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Nyahunge lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Morogoro kugongana na gari dogo eneo la Nzuguni Mjini hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya basi yaua wanne Bagamoyo

Watu wanne wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Hajees kupinduka katika Kijiji cha Mnazi, Kata ya Mandela wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.

 

9 years ago

Mtanzania

Ajali ya basi yaua wanne Iringa

Na Mwandishi Wetu, Iringa

WATU wanne wamefariki dunia katika ajali ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo wilayani Mufindi mkoani Iringa.

Ajali hiyo ilitokea jana wilayani hapa kwa kuhusisha basi hilo lenye namba za usajili T 782 ACR linalofanya safari zake kati ya Njombe na Dar es salaam ambalo lilipata ajali asubuhi katika eneo la Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa.

Basi hilo lililokuwa likisafiri kutokea Njombe kuelekea Dar es Salaam liligongana na lori lenye namba za usajilli T 718...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali ya basi yaua wanne, wengine 40 wajeruhiwa

Basi la Wibonela ambalo hufanya safari zake kati ya Kahama na Dar es salaam limepinduka jana asubuhi na kuua watu wanne, akiwamo kichanga wa miezi mitatu, na kujeruhi wengine 40.

 

11 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 20 DODOMA

Basi la Moro Best baada ya ajali hiyo mbaya. TAKRIBANI watu 20 wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la Pandambili, Kongwa mkoani Dodoma leo. Baadhi ya majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika Hospitali ya…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua wanne Makatanini

WATU wanne wamefariki na 32 kujeruhiwa baada ya basi la abiria la Polepole, trekta na bajaji kugongana eneo la Makatanini, wilaya ya Babati mkoa wa Manyara. Kaimu Kamanda wa Polisi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ajali yaua padri na wengine wanne


NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WATU watano, akiwemo Padri wa Kanisa Katoliki, Paulo Mwanyalila, wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea mkoani Mbeya.
Katika ajali hiyo iliyomwua Padri Mwanyanyila, gari lenye namba za usajili T241 BKZ aina ya Toyota Coaster, liligongana na gari liingine ambalo haijafahamika aina wala namba zake za usajili.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema ajali hiyo ilitokea juzi saa moja jioni katika barabara ya Mbeya- Tukuyu, eneo la...

 

11 years ago

Habarileo

Ajali ya basi yaua 10, yajeruhi 30

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Simiyu, Charles MkumboWATU 10 wamekufa papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa vibaya kutokana na ajali ya basi la Luhuye Express lililokuwa likitoka wilayani Tarime mkoani Mara kwenda jijini Mwanza jana.

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya basi, treni yaua 12

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PaulMATUKIO ya ajali za barabarani nchini yameendelea kuteketeza maisha ya Watanzania, baada ya jana watu 12 kufa papo hapo katika ajali iliyohusisha basi na treni katika makutano ya reli eneo la Kiberege, wilaya Kilombero mkoani Morogoro.

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI YAUA 5 SHINYANGA

TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba watu watano wamepoteza maisha katika ajali ya basi la Unique lenye namba za usajili T 148 BKK lililokuwa likitokea jijini Mwanza kwenda Tabora lililogongana na lori la Kampuni ya Coca cola. Ajali hiyo imetokea katika Kijiji cha Ibingo Kata ya Samuye, Shinyanga. Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai kuwa watu wengi wamejeruhiwa katika ajali hiyo na wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani