Ajali yaua padri na wengine wanne
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
WATU watano, akiwemo Padri wa Kanisa Katoliki, Paulo Mwanyalila, wamefariki dunia katika ajali mbili tofauti zilizotokea mkoani Mbeya.
Katika ajali hiyo iliyomwua Padri Mwanyanyila, gari lenye namba za usajili T241 BKZ aina ya Toyota Coaster, liligongana na gari liingine ambalo haijafahamika aina wala namba zake za usajili.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ahmed Msangi, alisema ajali hiyo ilitokea juzi saa moja jioni katika barabara ya Mbeya- Tukuyu, eneo la...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Ajali ya basi yaua wanne, wengine 40 wajeruhiwa
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Ajali yaua wanne Makatanini
WATU wanne wamefariki na 32 kujeruhiwa baada ya basi la abiria la Polepole, trekta na bajaji kugongana eneo la Makatanini, wilaya ya Babati mkoa wa Manyara. Kaimu Kamanda wa Polisi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7KG1WK4u-PU/XvY7ySPj2EI/AAAAAAALvmw/4TkEtmYiBVUSJJ7Gp98J6KU7eZlek9kZACLcBGAsYHQ/s72-c/radi.jpeg)
RADI YAUA WATU WANNE, WENGINE 27 WAJERUHIWA WAKIWA KWENYE MTUMBWI WILAYANI UKEREWE
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WATU wanne wameripotiwa kufariki Dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa kwenye mtumbwi waliokua wakisafiria katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.
Akizungunza leo kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Muliro Jumanne amesema lilitokea Juni 23 mwaka huu ,saa mbili asubuhi katika Kitongoji cha Busele kilichopo Kata ya Bubiko wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.
Kamanda Muliro amesema mtumbwi huo wa abiria unaojulikana kwa...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Ajali ya basi yaua wanne Iringa
Na Mwandishi Wetu, Iringa
WATU wanne wamefariki dunia katika ajali ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Luwinzo wilayani Mufindi mkoani Iringa.
Ajali hiyo ilitokea jana wilayani hapa kwa kuhusisha basi hilo lenye namba za usajili T 782 ACR linalofanya safari zake kati ya Njombe na Dar es salaam ambalo lilipata ajali asubuhi katika eneo la Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa.
Basi hilo lililokuwa likisafiri kutokea Njombe kuelekea Dar es Salaam liligongana na lori lenye namba za usajilli T 718...
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Ajali ya basi yaua wanne Bagamoyo
10 years ago
Habarileo12 Apr
Ajali ya basi yaua wanne Dodoma
WATU Wanne wamekufa na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Nyahunge lililokuwa likitokea Mwanza kwenda Morogoro kugongana na gari dogo eneo la Nzuguni Mjini hapa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632pnnG5KndWVKoAk38PoFsO1p4a-ZZOKTQoP8Zq-3gtJG8rJhm35EIzundI6meoWVPa*aa*yY3TMKDYbVazLQqX4/NDEGE.jpg)
AJALI YA NDEGE YA MIZIGO YAUA WANNE KENYA
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Ajali yaua askari wa JWTZ, kujeruhi wengine 33
10 years ago
Dewji Blog13 Jun
Ajali yaua sita na kujeruhi wengine 40 Singida
Basi la kampuni ya Nice Line Coach T.174 CAV mali ya Enock Mwita wa jijini Mwanza, limegonga lori kubwa RAC 317 N kwa nyuma na kukwanguliwa kushoto kuanzia mlangoni na kusababisha vifo vya abiria watano na kujeruhi wengine 39 waliolazwa katika hospitali ya mkoa mjini Singida.
![DSC06582](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/DSC06582.jpg)