Fedha za barabara ya Turiani, Mikumi zasakwa
SERIKALI imesema bado inatafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi, katika sehemu ya Ulaya hadi Mikumi yenye urefu wa kilomita 43.7.
Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, alisema ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi umegawanywa katika awamu nne.
Alisema sehemu ya kwanza ni kutoka sehemu ya Magole hadi Turiani, yenye urefu wa kilomita 45 ambapo sehemu hiyo imeshakamilika kwa asilimia 69.
“Sehemu ya pili ni kutoka Dumila hadi Rudewa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://2.bp.blogspot.com/-EB9Y9fLn_pM/VmeJBvJ05YI/AAAAAAAAXY8/xoo9X360o4Q/s72-c/FB_IMG_1449624403393.jpg)
10 years ago
MichuziRais Kikwete azindindua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Magole-Turiani —Mziha
9 years ago
Habarileo01 Dec
Fedha za Uhuru kupanua barabara
RAIS John Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharimia shamrashamra za Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, mwaka huu, kutumika kupanua barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam, yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
11 years ago
Habarileo25 Jul
Japan yaongeza fedha barabara za juu
SERIKALI ya Japan imeongezea Tanzania Sh bilioni 5.7 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara za juu eneo la Tazara, Dar es Salaam zinazotarajia kuanza kujengwa Oktoba na Novemba mwaka huu.
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
Fedha za mfuko wa barabara wapewe wakandarasi wazawa
NA JUMBE USMAILLY, MANYONI
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amewaagiza wahandisi, mameneja wa mikoa wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha fedha zote zilizotolewa na Mfuko wa Barabara, kazi zake zote zitolewe kwa wakandarasi wazalendo.
Dk. Magufuli alitoa agizo hilo mjini Manyoni mkoani Singida wakati akiweka jiwe la msingi la barabara ya mjini Manyoni yenye urefu wa kilomita 2.8 inayotengenezwa kwa kiwango cha lami kwa gharama ya sh. bilioni...
10 years ago
Habarileo06 Sep
Barabara zaidi za lami kujengwa kuokoa muda, fedha
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali itaendelea na jitihada za ujenzi wa barabara za lami, kupanua shughuli za kiuchumi na kuendeleza dhana ya maisha bora kwa kila Mtanzania.
11 years ago
Tanzania Daima27 May
Serikali yasaka fedha ujenzi barabara ya Njombe-Ludewa
SERIKALI imesema inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ludewa Mjini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, wakati akijibu...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
NMB yazindua tawi Turiani
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amezindua jengo jipya la tawi jipya la NMB Turiani katika wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki ambapo zaidi...
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Maktaba 35 zajengwa Bagamoyo, Turiani