Fedha za Uhuru kupanua barabara
RAIS John Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharimia shamrashamra za Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, mwaka huu, kutumika kupanua barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam, yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziFEDHA ZA 9 DISEMBA ZAANZA UJENZI WA KUPANUA BARABARA MWENGE-MOROCCO JIJINI DAR
Scaveter ikisafisha sehemu ya barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco kwaajili ya upanuzi wa barabara mbili zinazojengwa kwa fedha ambazo zilitakiwa kutumika katika kusherekea sherehe za uhuru ambazo hufanyika kila mwaka Disemba 9 ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, kazi hiyo imeanza kutekelezwa leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakigombania bango ambalo limevunjwa katika upanuzi wa barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco leo jijini Dar...
9 years ago
MichuziRais Magufuli aamuru Fedha zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9 sasa zitumike kujengea barabara ya Mwenge - Morocco, Jijini Dar
Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa...
10 years ago
GPLUJENZI WAENDELEA BARABARA YA UHURU
9 years ago
BBCSwahili05 Oct
Kikwete na Uhuru wazindua barabara muhimu
10 years ago
Michuzi10 years ago
VijimamboWALEMAVU WAFUNGA MAKUTANO YA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR
10 years ago
GPLWALEMAVU JIJINI DAR WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA ZA KAWAWA NA UHURU
10 years ago
Mtanzania05 Jun
Fedha za barabara ya Turiani, Mikumi zasakwa
SERIKALI imesema bado inatafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi, katika sehemu ya Ulaya hadi Mikumi yenye urefu wa kilomita 43.7.
Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, alisema ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi umegawanywa katika awamu nne.
Alisema sehemu ya kwanza ni kutoka sehemu ya Magole hadi Turiani, yenye urefu wa kilomita 45 ambapo sehemu hiyo imeshakamilika kwa asilimia 69.
“Sehemu ya pili ni kutoka Dumila hadi Rudewa...
11 years ago
Habarileo25 Jul
Japan yaongeza fedha barabara za juu
SERIKALI ya Japan imeongezea Tanzania Sh bilioni 5.7 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara za juu eneo la Tazara, Dar es Salaam zinazotarajia kuanza kujengwa Oktoba na Novemba mwaka huu.