Rais Magufuli aamuru Fedha zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9 sasa zitumike kujengea barabara ya Mwenge - Morocco, Jijini Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameamuru fedha zilizopaswa kutumika kugharamia shamra shamra za siku ya Uhuru ambazo zingefanyika tarehe 09 Desemba 2015, kutumika kufanya upanuzi wa barabara ya Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 4.3 kwa kuongeza njia mbili za barabara za lami.
Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziFEDHA ZA 9 DISEMBA ZAANZA UJENZI WA KUPANUA BARABARA MWENGE-MOROCCO JIJINI DAR
9 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
Rais Kikwete afungua rasmi Barabara ya Mwenge-Tegeta jijini Dar leo


10 years ago
MichuziTEMEKE YAKABIDHI MWENGE WA UHURU WILAYA YA ILALA SHAMRASHAMRA ZAPAMBA MOTO
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Habarileo02 Dec
Ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco waanza
SIKU moja baada ya Rais John Magufuli kuamuru fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe za Uhuru zikajenge barabara ya Bagamoyo kipande cha kilometa 4.3 cha Mwenge – Morocco, jijini Dar es Salaam, ujenzi huo umeanza jana.
9 years ago
Michuzi
UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE- MOROCCO WAANZA


11 years ago
Mwananchi27 Mar
Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba
11 years ago
Tanzania Daima01 Mar
Magufuli aamuru Strabag kufungua barabara
WAZIRI wa Ujenzi, John Magufuli, amemtaka mkandarasi Kampuni ya Strabag inayojenga Barabara ya Morogoro, kufungua barabara zilizokamilika ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wanayokumbana nayo kila siku. Magufuli amemtaka mkurugenzi...