UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE- MOROCCO WAANZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-fqeqtuJaEys/Vl1jrv2-cXI/AAAAAAAIJaM/b7c0TZJS430/s72-c/AgruMpLPx5qVkJ4Y4Dy142lezFXUr_82O2CNTjwJ3bfh.jpg)
Mafundi wakiendelea na Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/nalOkdyVu00/default.jpg)
9 years ago
Habarileo02 Dec
Ujenzi wa barabara ya Mwenge-Morocco waanza
SIKU moja baada ya Rais John Magufuli kuamuru fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe za Uhuru zikajenge barabara ya Bagamoyo kipande cha kilometa 4.3 cha Mwenge – Morocco, jijini Dar es Salaam, ujenzi huo umeanza jana.
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE KUZINDUA UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE - TEGETA
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UPANUZI WA BARABARA YA NEW BAGAMOYO SEHEMU YA MWENGE - TEGETE LEO
9 years ago
MichuziFEDHA ZA 9 DISEMBA ZAANZA UJENZI WA KUPANUA BARABARA MWENGE-MOROCCO JIJINI DAR
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-xGs6HG204NU/VlxHz57XWmI/AAAAAAAIJOY/HAX40Wf2erI/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-30%2Bat%2B3.56.53%2BPM.png)
Rais Magufuli aamuru Fedha zilizopaswa kutumika kugharamia Shamrashamra za siku ya Uhuru Desemba 9 sasa zitumike kujengea barabara ya Mwenge - Morocco, Jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-xGs6HG204NU/VlxHz57XWmI/AAAAAAAIJOY/HAX40Wf2erI/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-30%2Bat%2B3.56.53%2BPM.png)
Tayari fedha hizo kiasi cha shilingi bilioni nne zimepelekwa kwa wakala wa barabara hapa nchini TANROADS kwa ajili ya utekelezaji wa agizo hilo, linalopaswa...
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Upanuzi Barabara ya Morogoro ni janga
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8s3Z19bYb4/U-j4eOULqAI/AAAAAAAF-kE/3LRKICF4rPw/s72-c/unnamed+(41).jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-Z8s3Z19bYb4/U-j4eOULqAI/AAAAAAAF-kE/3LRKICF4rPw/s1600/unnamed+(41).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-8fuh6Rix_QE/U-j4eA1NJhI/AAAAAAAF-kA/noaS8n4dTZc/s1600/unnamed+(42).jpg)
9 years ago
Habarileo03 Dec
Ujenzi wa Mwenge-Morocco kukamilika miezi 6
UJENZI wa Barabara ya Bagamoyo kipande cha kutoka Mwenge hadi Morocco jijini Dar es Salaam, chenye urefu wa kilometa 4.3, kinatarajia kukamilika ujenzi wake ndani ya miezi sita.