Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upanuzi Barabara ya Morogoro ni janga

Kinyume na matarajio ya wengi, mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Morogoro, kilomita 21 kutoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Kimara umekuwa kero kubwa kwa wananchi wanaotumia vyombo vya usafiri kupitia katika barabara hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE- MOROCCO WAANZA

Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha  za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KUZINDUA UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE - TEGETA

Rais Dk. Jakaya Kikwete. Na Haruni Sanchawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa upanuzi wa barabara ya Mwenge - Tegeta yenye urefu wa kilomita 12.9 Oktoba 1 mwaka huu katika eneo la Lugalo, njia panda ya Kawe jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa hiyo ofisini kwake leo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Injinia Musa Lyombe amesema uzinduzi huo utafanyika kuanzia...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kuharakisha ahadi yake ya upanuzi wa barabara

Watumiaji wa Barabara ya Gerezani – Bendera tatu Dar es salaam wameiomba Serikali ya Tanzania na Japan kuharakisha upanuzi wa barabara hiyo na ule wa barabara ya juu katika eneo la Tazara ili kuwapunguzia kero ya muda mrefu ya msongamano wa magari.

Baada ya kuona maandalizi ya awali katika barabara ya gerezani kwa ajili ya kuanza ujenzi, baadhi ya watumiaji wa barabara hiyo wakazungumza na Star Tv

Wamesema kutokana na watu wengi kutumia barabara hiyo hususani wenye magari makubwa ambayo...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UPANUZI WA BARABARA YA NEW BAGAMOYO SEHEMU YA MWENGE - TEGETE LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa barabara ya New Bagamoyo leo. Rais Kikwete akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki…

 

10 years ago

CloudsFM

VURUGU ZAFUNGA BARABARA DUMILA, MOROGORO

Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wa Dumila na Mbigiri wilayani Kilosa mkoani Morogoro baada ya kufunga barabara ya Morogoro Dodoma kwa kutumia mawe na kuchoma matairi barabarani katika eneo la Dumila na kusababisha abiria wanaotumia barabara ya Morogoro Dodoma kukosa mawasiliano kwa zaidi ya masaa sita.

Vurugu hizo zilidumu kwa muda mrefu na juhudi za kudhibiti wakulima hao zimechukua muda baada ya askari wachache wa kituo cha Dumila kuonekana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi wa Barabara ya Morogoro kero tupu

TANGU mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam uanze, kumezuka kero ya msongamano wa magari kwa watumiaji wa Barabara ya Morogoro eneo la Ubungo hadi...

 

5 years ago

Michuzi

Barabara ya Morogoro – Dodoma kukamilika usiku


Na Farida Saidy, Morogoro

Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema daraja la Mto Mkange lililopo Wilayani Kilosa lililovunjilka Machi 2 mwaka huu, linatarajiwa kukamilika usiku wa kuamkia Machi 4 mwaka huu.

Waziri Kamwelwe amesema hayo akiwa katika eneo la tukio, mara baada ya Karavati moja kati ya mawili yanayohitajika kushushwa sehemum lilipokatika daraja na kutoa matumaini kuwa ujenzi wa daraja hilo la muda utakamilika usiku wa kuamkia Machi 4 Mwaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani