Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaombwa kuharakisha ahadi yake ya upanuzi wa barabara

Watumiaji wa Barabara ya Gerezani – Bendera tatu Dar es salaam wameiomba Serikali ya Tanzania na Japan kuharakisha upanuzi wa barabara hiyo na ule wa barabara ya juu katika eneo la Tazara ili kuwapunguzia kero ya muda mrefu ya msongamano wa magari.

Baada ya kuona maandalizi ya awali katika barabara ya gerezani kwa ajili ya kuanza ujenzi, baadhi ya watumiaji wa barabara hiyo wakazungumza na Star Tv

Wamesema kutokana na watu wengi kutumia barabara hiyo hususani wenye magari makubwa ambayo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

Serikali yaisaliti ahadi yake ya kutonunua mashangingi

BAJETI ya serikali iliyowasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, itakuwa na naki

Nizar Visram

 

11 years ago

Mwananchi

Upanuzi Barabara ya Morogoro ni janga

Kinyume na matarajio ya wengi, mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Morogoro, kilomita 21 kutoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Kimara umekuwa kero kubwa kwa wananchi wanaotumia vyombo vya usafiri kupitia katika barabara hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE- MOROCCO WAANZA

Mafundi wakiendelea na  Upanuzi wa barabara ya Mwenge Morocco jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Hii ni baada ya Rais kuelekeza fedha  za maadhimisho ya siku ya uhuru ya Disemba 9 zitumike katika upanuzi wa barabara hiyo.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KUZINDUA UPANUZI WA BARABARA YA MWENGE - TEGETA

Rais Dk. Jakaya Kikwete. Na Haruni Sanchawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa upanuzi wa barabara ya Mwenge - Tegeta yenye urefu wa kilomita 12.9 Oktoba 1 mwaka huu katika eneo la Lugalo, njia panda ya Kawe jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa hiyo ofisini kwake leo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Injinia Musa Lyombe amesema uzinduzi huo utafanyika kuanzia...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI UPANUZI WA BARABARA YA NEW BAGAMOYO SEHEMU YA MWENGE - TEGETE LEO

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa barabara ya New Bagamoyo leo. Rais Kikwete akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki…

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA KITENGO CHA MIPANGO OFISI YA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI,NKILIJIWANDO ATIMIZA AHADI YAKE KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MISITU JIJINI DAR.


MKUU  wa kitengo cha mipango katika Ofisi ya Ukaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali, Malima Nkilijiwando ambae pia ni mdau wa elimu ametimiza ahadi yake ya kuinunulia Shule ya Sekondari ya Misitu iliyopo kata ya Kivule- Ukonga jijini Dar es Salaam Kompyuta na mashine ya kutolea kopi pamoja na kuchapisha.
Ahadi hiyo ameitimiza leo katika shule hiyo ikiwa aliahidi kipindi walipofanya mahafali ya kidato cha nne katika shule hiyo.
Mkuu wa shule ya Sekondari ya Misitu, Pantaleo Maghari...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yahimizwa kuharakisha mpango wa matumizi ya ardhi

SERIKALI imetakiwa kuharakisha mpango wa matumizi bora ya ardhi katika vijiji 79 vilivyopo katika Wilaya Kisarawe mkoani Pwani kuepusha migogoro ya mipaka baina ya kijiji na kijiji. Wito huo ulitolewa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani