Barabara ya Morogoro – Dodoma kukamilika usiku

Na Farida Saidy, Morogoro
Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema daraja la Mto Mkange lililopo Wilayani Kilosa lililovunjilka Machi 2 mwaka huu, linatarajiwa kukamilika usiku wa kuamkia Machi 4 mwaka huu.
Waziri Kamwelwe amesema hayo akiwa katika eneo la tukio, mara baada ya Karavati moja kati ya mawili yanayohitajika kushushwa sehemum lilipokatika daraja na kutoa matumaini kuwa ujenzi wa daraja hilo la muda utakamilika usiku wa kuamkia Machi 4 Mwaka...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
DARAJA LIKIENDELEA KUJENGWA BARABARA KUU YA DODOMA NA MOROGORO




5 years ago
CCM Blog
RAIS DK. MAGUFULI ATEMBELEA DARAJA LA KIEGEYA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO BARABARA YA DODOMA-MOROGORO


5 years ago
Michuzi
RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA DARAJA LA KIEGEYA LILILOSOMBWA NA MAJI NA KUKATA MAWASILIANO BARABARA YA DODOMA-MOROGORO


5 years ago
CCM Blog
11 years ago
Habarileo22 May
Barabara ya Ndundu-Somanga kukamilika miezi 2
BARABARA ya Ndundu –Somanga iliyojengwa kwa muda mrefu, inatarajiwa kukamilika baada ya miezi miwili ijayo; Bunge limeelezwa.
10 years ago
GPLUJENZI WA BARABARA YA MSIMBAZI KARIAKOO MBIONI KUKAMILIKA
11 years ago
VijimamboBARABARA YA NDUNDU SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU WA NOVEMBA
10 years ago
GPLWAZIRI MAGUFULI ATANGAZA KUKAMILIKA KWA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA (KM 60)
10 years ago
MichuziWaziri Magufuli atangaza kukamilika kwa barabara ya Ndundu-Somanga(Km 60)