Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Japan yaongeza fedha barabara za juu

SERIKALI ya Japan imeongezea Tanzania Sh bilioni 5.7 kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa barabara za juu eneo la Tazara, Dar es Salaam zinazotarajia kuanza kujengwa Oktoba na Novemba mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MRADI WA MABORESHO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA UMMA

 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma inayoendelea katika Hoteli Njuweni Kibaha. Bi.Ingiahedi alisema kuwa Serikali ya Tanzania ilianzisha mradi huo kwa madhumuni ya kuimarisha mifumo ya matumizi ya fedha katika ngazi zote.  Mradi huu umekuwa wa awamu 4 kutokana na mafanikio yanayojitokeza na changamoto.
Alisema kuwa Mpaka sasa mradi huo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 128 zatolewa kwa ajili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu na Umeme

2

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mikataba miwili ya ujenzi wa barabara za juu kwa juu katika makutano ya TAZARA na usambazaji umeme jijini Dar es salaam leo zenye thamani ya zaidi ya bilioni 128.

1

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati ya makubaliano ya mikataba miwili ya ujenzi wa...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mabilioni kujenga barabara za juu


WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema ujenzi wa barabara za juu katika jiji la Dar es Salaam, utagharimu sh. bilioni 78.Ujenzi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari huku serikali ya Japan ikichangia sh. bilioni 26 kusaidia ujenzi huo.
Akichangia majibu ya swali lililoelekezwa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Magufuli alisema tayari mchakato wa ujenzi huo umeanza.Kauli hiyo ilitokana na maswali ya Mariam Kisangi (Viti Maalum –CCM), kuhoji mpango wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni...

 

10 years ago

Habarileo

Zabuni barabara za juu mwezi ujao

Waziri wa Ujenzi, Dk John MagufuliZABUNI ya ujenzi wa barabara za juu jijini Dar es Salaam inatarajiwa kutangazwa mwezi ujao.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi ujenzi wa madaraja, barabara za juu

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ameahidi kulibadili jiji la Dar es Salaam kwa kujenga barabara za lami na kutatua tatizo sugu la foleni kupitia ujenzi wa madaraja na barabara za juu maarufu kama ‘flyovers’.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Serikali kujenga barabara nne za juu Dar

Dar es Salaam. Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara nne za juu ‘flyover’ katika jiji la Dar es Salaam ndani ya miaka mitatu na daraja la Kigamboni Juni mwakani, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema. Pia amesema Serikali imetenga Sh2 bilioni kununua kivuko cha mwendo kasi kitakachokuwa kikitoa huduma kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo na kukamilika kwa ujenzi wa barabara za pembezoni katika jiji hili. Waziri Magufuli alisema hayo jana katika ziara ya kukagua ujenzi wa barabara za...

 

9 years ago

Habarileo

Mchakato ujenzi barabara ya juu Tazara tayari

UJENZI wa barabara ya juu katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la Tazara, Dar es Salaam unatarajiwa kuanza mapema iwezekanavyo baada ya kusainiwa kwa mkataba wa zaidi ya Sh bilioni 100 wa ujenzi.

 

9 years ago

GPL

BARABARA YA JUU (FLY OVER) KUJENGWA TAZARA, DAR

Ramani ya Barabara ya Juu (Fly Over) itakavyokuwa baada ya ujenzi kukamilika unaoanza mwezi ujao kukamilika Oktoba  2018. Mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo utakaogharimu sh. bilioni 100 umesainiwa jana chini ya usimamizi wa Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli Waziri wa Ujenzi, ambaye pia ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (aliyesimama katikati) akishuhudia utiaji wa saini mkataba wa ujenzi wa barabara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani