Serikali kujenga barabara nne za juu Dar
Dar es Salaam. Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara nne za juu ‘flyover’ katika jiji la Dar es Salaam ndani ya miaka mitatu na daraja la Kigamboni Juni mwakani, Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema. Pia amesema Serikali imetenga Sh2 bilioni kununua kivuko cha mwendo kasi kitakachokuwa kikitoa huduma kati ya Dar es Salaam na Bagamoyo na kukamilika kwa ujenzi wa barabara za pembezoni katika jiji hili. Waziri Magufuli alisema hayo jana katika ziara ya kukagua ujenzi wa barabara za...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Uhuru NewspaperMabilioni kujenga barabara za juu
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, amesema ujenzi wa barabara za juu katika jiji la Dar es Salaam, utagharimu sh. bilioni 78.Ujenzi huo wenye lengo la kupunguza msongamano wa magari huku serikali ya Japan ikichangia sh. bilioni 26 kusaidia ujenzi huo.
Akichangia majibu ya swali lililoelekezwa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Magufuli alisema tayari mchakato wa ujenzi huo umeanza.Kauli hiyo ilitokana na maswali ya Mariam Kisangi (Viti Maalum –CCM), kuhoji mpango wa ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni...
10 years ago
MichuziMKUTANO WA KUJENGA UELEWA JUU YA MIPANGO YA SERIKALI WAFUNGWA
10 years ago
GPL
BARABARA YA JUU (FLY OVER) KUJENGWA TAZARA, DAR
11 years ago
Michuzi
Barabara za juu kuondoa tatizo foleni jijini Dar

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu maendeleo yaliyofikwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini tangu Serikali ya awamu ya nne ilipoingia madarakani . Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Frank Mvungi.
10 years ago
Habarileo28 May
Serikali kujenga barabara za mkoa mmoja mmoja
SERIKALI imesema baada ya kukamilisha ujenzi wa barabara zinazounganisha mikoa mbalimbali nchini, itashughulikia barabara za mkoa mmoja mmoja.
5 years ago
CCM Blog
MUONEKANO WA BARABARA ZA JUU UBUNGO DAR, VYOMBO VYA USAFIRI VYAANZA KUPITA


.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

10 years ago
Michuzi
TANROADS NA KAMPUNI YA SUMITON MITSUI CONSTRACTION CO. LTD WASAINI MKATABA KWAAJILI YA UJENZI WA BARABARA YA JUU ENEO LA TAZARA LEO JIJINI DAR


5 years ago
CCM BlogSERIKALI YARUHUSU LIGI KUU NNE ZA SOKA KUCHEZWA DAR NA MWANZA KUANZIA MWEZI UJAO
Serikali imeruhusu ligi kuu nne kuanza kuchezwa nchini kuanzia Juni 1, 2020 kwa tahadhari zote ili kumpata bingwa wa ligi hizo na timu mwakilishi katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dodoma kuhusu uamuzi wa Serikali wa kuanza kwa ligi hizo baada ya kusitishwa kwa muda kufuatia ugonjwa mlipuko...