Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maktaba 35 zajengwa Bagamoyo, Turiani

Taasisi ya Room to Read imejenga maktaba 35 kwenye shule za msingi za wilaya za Bagamoyo na Turiani kwa gharama ya Sh700 milioni ili kuwawezesha wanafunzi kujua kusoma, kuandika na kuhesabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

SHULE ZA BAGAMOYO KUNUFAIKA NA MAKTABA INAYO TEMBEA

Kamisha wa Elimu nchini Prof, Eustella Bhalalusesa akikata utepe kuashiria uzinduliwa rasmi Maktaba inayo tembea Wilayani Bagamoyo. Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi Teknolojia na Mawasiliano Bw John Mngodo akiwa washa Piki piki ya Miguu mitatu aina ya TOYO iliyo beba makta kama kiashirio cha Maktaba hiyo inayo tembea ipo tayari kuanza kazi. Mkurugenzi Mkazi wa ITIDO Bi Mwawi Mlekano akimkabidi Kamisha wa Elimu nchini Prof, Eustella Bhalalusesa alioko kushoto Kadi ya TOYO iliyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yazindua tawi Turiani

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amezindua jengo jipya la tawi jipya la NMB Turiani katika wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro. Uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki ambapo zaidi...

 

10 years ago

Mtanzania

Fedha za barabara ya Turiani, Mikumi zasakwa

SERIKALI imesema bado inatafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi, katika sehemu ya Ulaya hadi Mikumi yenye urefu wa kilomita 43.7.
Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, alisema ujenzi wa barabara ya Turiani hadi Mikumi umegawanywa katika awamu nne.
Alisema sehemu ya kwanza ni kutoka sehemu ya Magole hadi Turiani, yenye urefu wa kilomita 45 ambapo sehemu hiyo imeshakamilika kwa asilimia 69.
“Sehemu ya pili ni kutoka Dumila hadi Rudewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Zahanati Kinondoni zajengwa kiholela

Tathmini ya huduma za afya katika Zahanati na Hospitali za Manispaa ya Kinondoni inaonyesha kuwa, kutokuwapo na mawasiliano miongoni mwa mamlaka za Serikali kumechangia kutokea kwa hasara ambazo zingeweza kuepukika.

 

10 years ago

Habarileo

Nyumba za walimu zajengwa kwa bilioni 14/-

Kassim MajaliwaSERIKALI imetoa kupitia Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi (MMEM) na Sekondari (MMES) Sh bilioni 13.9 kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu nchini kati ya mwaka 2009 hadi mwaka 2013.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindindua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Magole-Turiani —Mziha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Kapuya akiweka jiwe la Msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Barabara ya Magole-Turiani –Mziha sehemu ya Magole-Turiani (48.6km) inayojengwa kwa kiwango cha lami. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

9 years ago

Michuzi

KILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10

Ujenzi wa barabara ya Iringa-Dodoma umekamilika kwa asilimia 95, bado maeneo machache tu likiwemo hili la Mlima Nyang'oro ambapo Wachina wameuchonga ili kupunguza kona katika umbali wa kilometa 15. Wakati wakandarasi walipokuwa wanajenga daraja hili katika eneo la Miangalua kwenye barabara ya Tunduma-Sumbawanga mwaka 2011. Barabara hiyo sasa imekamilika.Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri. Ujenzi wa barabara ukiendelea katika baadhi ya miradi nchini.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

 

9 years ago

GPL

KILOMETA 6,276 ZA BARABARA ZAJENGWA NCHINI KWA MIAKA 10‏

Barabara ya Mwanza-Musoma iko katika hali nzuri. …

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo

Mkurugenzi wa kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman (kulia) akihutubia wakati uzinduzi wa mashindano ya Mbio Ndefu ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yanatarajiwa kutimua vumbi Juni 14 mwaka huu mjini Bagamoyo Mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Bagamoyo, Pwani leo. Wengine kutoka kushoto ni, Kaimu Ofisa Michezo Wlaya ya Bagamoyo, Hamisi Kimenya, Mwenyekiti wa Riadha Tanzania Mkoa wa Pwani, Joseph Luhende na Mkurugenzi Msaidizi Ukaguzi na Uhakiki wa Ubora wa Hudumaza Afya kutoka Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani