Serikali yasaka fedha ujenzi barabara ya Njombe-Ludewa
SERIKALI imesema inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ludewa Mjini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, wakati akijibu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Bugadea yasaka fedha ujenzi kituo cha afya
WAKAZI wa Kata ya Buganguzi katika Wilaya ya Muleba, wameamua kuchangishana fedha kwa ajili ya kujenga kituo cha afya kitakachogharimu zaidi ya sh milioni 500. Uamuzi huo umefikiwa na wakazi...
11 years ago
Tanzania Daima23 May
Serikali yasaka fedha kujenga minara ya simu
SERIKALI imesema imeamua kutafuta fedha na kujenga minara yenyewe badala ya kuzitegemea kampuni za simu. Akijibu swali bungeni jana, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, alisema wizara...
5 years ago
MichuziSHULE YA MSINGI RAMADHANI YANUFAIKA NA UJENZI WA BARABARA YA NJOMBE-MORONGA (KM 53.9)
5 years ago
MichuziWANANCHI LUDEWA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA
9 years ago
MichuziFEDHA ZA 9 DISEMBA ZAANZA UJENZI WA KUPANUA BARABARA MWENGE-MOROCCO JIJINI DAR
Scaveter ikisafisha sehemu ya barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco kwaajili ya upanuzi wa barabara mbili zinazojengwa kwa fedha ambazo zilitakiwa kutumika katika kusherekea sherehe za uhuru ambazo hufanyika kila mwaka Disemba 9 ikiwa ni kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Joseph Magufuli, kazi hiyo imeanza kutekelezwa leo jijini Dar es Salaam.Vijana wakigombania bango ambalo limevunjwa katika upanuzi wa barabara kuanzia Mwenge hadi Morocco leo jijini Dar...
10 years ago
MichuziUJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...
9 years ago
Michuzi18 Dec
Serikali yasaini makubaliano ya ujenzi wa Barabara Arusha.
Mkurugenzi wa barabara Wizara ya Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Ven Ndiyakumana kushoto akisaini mkataba wa awali kuhusu mkopo wa fedha wa riba nafuu utakaosaidia ujenzi wa Barabara ya Arusha hadi Holili kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Idara ya ushirikiano Afrika kutoka Japan (JICA) Bw. Hideyuki Manioka wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa barabara Wizara ya Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Ven Ndiyakumana kushoto akikabidhiana...
5 years ago
MichuziSERIKALI YASAINI MIKATABA MINNE UJENZI BARABARA YA KABINGO- KASULU- MANYOVU
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale (kushoto), pamoja na mmoja wa wakandarasi waliosaini mikataba minne ya mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kabingo - Kasulu -Manyovu (Km 260), wakionesha hati za mikataba hiyo mara baada ya kusaini, mkoani Kigoma.PICHA NA WUUM.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (Wanne kulia pamoja na viongozi wengine wa Serikali wakishuhudia tukio la utiaji saini mikataba minne ya...
11 years ago
Michuzi28 Mar