Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHULE YA MSINGI RAMADHANI YANUFAIKA NA UJENZI WA BARABARA YA NJOMBE-MORONGA (KM 53.9)

 Vyumba vya madarasa vikiwa vimekamilika ambavyo vimejengwa na mkandarasi CHICO anayejenga barabara ya Njombe- Makete sehemu ya Njombe -Moronga (Km 53.9). Ujenzi wa jengo hilo ni ahadi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara hiyo.Muonekano wa ndani wa bwalo jipya la chakula ambalo limejengwa na mkandarasi CHICO anayejenga barabara ya Njombe- Makete sehemu ya Njombe -Moronga (Km 53.9). Ujenzi wa jengo hilo ni ahadi ya Rais Dkt....

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi  wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo amesema anataka kuona ujenzi huo unakamilika ili wananchi waendelee...

 

10 years ago

Michuzi

TABATA SHULE YA MSINGI YANUFAIKA NA MSAADA WA MADAWATI 100 TOKA BENKI YA KCB TANZANIA

 .Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Tabata ya jijini Dar es Salaam,Tumaini Kabuta akikabidhiwa msaada wa madawati 100 na Meneja Biashara wa Benki ya KCB Tanzania, Tawi la Mlimani City, Benjamin Mgonja(kushoto) wakati wa hafla fupi iliyofanyika shuleni hapo.Benki hiyo imetoa msaada wa matawati 1000 kwa shule kumi za jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi Tabata.Wakati wa hafla ya  kukabidhiwa msaada wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Shule ya msingi Kiimbwa Mkuranga yanufaika na msaada wa Madawati 100 toka KCB Benki

01

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kiimbwa iliyopo Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani Eugema Njau(kushoto) akipokea moja ya msaada wa madawati kati ya  100 toka kwa Ofisa Masoko wa Benki ya KCB Tanzania, Margaret Mhina (kulia) Msaada huo ni mwendelezo wa mradi wao wa kugawa  madawati 1000 kwa shule za msingi. Wanaoshuhudia wapili kutoka kushoto ni  Mwenyekiti wa kijiji Ramadhani Bakari na Meneja wa benki hiyo  tawi la Buguruni Luck Mwakitalu.

02

Ofisa wa Benki ya KCB Tanzania,Magret...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yasaka fedha ujenzi barabara ya Njombe-Ludewa

SERIKALI imesema inaendelea kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Njombe hadi Ludewa Mjini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge, wakati akijibu...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA NJOMBE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TENKI LA MAJI MWONGOLO MAKETE MJINI

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapeteni Mstaafu Aseri Msangi akiweka jiwe la msingi ujenzi wa tanki la maji lililopo Mwongolo Makete Mjini.  Mkuu wa mkoa wa Njombe kapt. Mstaafu Aseri Msangi akimsikiliza meneja wa maji Makete mjini akisoma taarifa, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro. Meneja wa mamlaka ya maji makete mjini, Bw. Yonas Ndomba akimkabidhi taarifa ya ujenzi wa tanki la maji la Mwongolo Makete mjini Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi pamoja na Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai wakifurahia mara baada ya Rais kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km . Rais wa Jamhuri ya… ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MBANDE-KONGWA 16.5KM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakwanza kushoto akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi pamoja na Mbunge wa Kongwa ambaye pia ni Naibu Spika Job Ndugai wakifurahia mara baada ya Rais kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Mbande-Kongwa 16.5Km . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe ...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA MAYAMAYA — MELA-BONGA KM 188.15

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Mayamaya –Mela - Bonga Km 188.15. Wengine wanaoshuhudia tukio hilo ni Mwakilishi wa Serikali ya Japan kushoto, katikati ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) kwa upande wa Tanzania Dkt. Tonia Kandiero, Mama Salama Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aweka jiwe la msingi ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani, jijini Arusha

11

Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuhutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Barabara ya Kia-Mererani yenye Kilometa 26. Hafla hiyo imefanyika Julai 30, 2015. (Picha na OMR).

 

1B

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Mji mdogo wa Mererani, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani