Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.
![](https://1.bp.blogspot.com/-MFCxR6Ugj9U/XvBI8qGsw8I/AAAAAAALu24/JAChvLEWIEEzvDXlsG6ASq8y2TFTjom_ACLcBGAsYHQ/s72-c/vlcsnap-2020-06-21-08h39m04s769.png)
Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo amesema anataka kuona ujenzi huo unakamilika ili wananchi waendelee...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nU8lIzNQ39g/Xliu8sFFqFI/AAAAAAALfzQ/WFJXeWdGpmMZuFVjAUX4FlvQ1uRF_btcACLcBGAsYHQ/s72-c/3-53.jpg)
SHULE YA MSINGI RAMADHANI YANUFAIKA NA UJENZI WA BARABARA YA NJOMBE-MORONGA (KM 53.9)
![](https://1.bp.blogspot.com/-nU8lIzNQ39g/Xliu8sFFqFI/AAAAAAALfzQ/WFJXeWdGpmMZuFVjAUX4FlvQ1uRF_btcACLcBGAsYHQ/s640/3-53.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/5-32.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Mh. Lukuvi aagiza uongozi wa mkoa wa Manyara kumaliza migogoro ya ardhi kabla ya mwezi Mei mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Manyara ,Mhe.Joel Nkaya Bendera akizungumza katika kikao cha viongozi wa wilaya zote za mkoa huo kilichofanyika ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini Babati, kushoto ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mhe.William Lukuvi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Babati, Crispin Meela.Mhe.Bendera amesisitiza nidhamu ya kazi katika kuhudumia wananchi na ameapa kuwaondoa watendaji wabovu mkoani humo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe.William Lukuvi akizungumza katika...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ANGELA KAIRUKI MGENI RASMI SIKU YA WAJANE DUNIANI ITAKAYOFANYIKAJUNI 23 MWAKA HUU.
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Kipande cha barabara ya Mandela kufungwa leo
MKANDARASI Mkuu anayeshughulikia mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, Strabag International ametangaza kufungwa kwa muda kipande cha barabara ya Mandela hadi makutano ya Ubungo Mataa kuanzia leo....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l9ycAQHuijs/U_mtHr2HPRI/AAAAAAAGB8U/kOCfnV_oqnw/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-08-24%2Bat%2B12.13.19%2BPM.png)
Kipande cha barabara ya Mandela kufungwa kuanzia leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-l9ycAQHuijs/U_mtHr2HPRI/AAAAAAAGB8U/kOCfnV_oqnw/s1600/Screen%2BShot%2B2014-08-24%2Bat%2B12.13.19%2BPM.png)
Akiongea jana na waandishi wa habari, Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Yahya Mkumba alisema kipande cha barabara ya Mandela kuanzia makutano ya barabara ya morogoro upande wa kushoto uelekeo wa Tabata kuanzia ubungo mataa hadi darajani patafungwa.
Kipande hicho kitafungwa kuanzia...
10 years ago
VijimamboBARABARA YA NDUNDU SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU WA NOVEMBA
11 years ago
Dewji Blog07 Apr
TANROADS Singida yatumia zaidi ya sh 5.1 B kutengeneza barabara zake Julai mwaka jana na februari mwaka huu
Mkuu wa mkoa wa Singida na mwenyekiti wa bodi ya barabara, Dk.Parseko Vicent Kone, akifungua kikao cha bodi ya barabara cha 36 kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa VETA mjini Singida. Kulia (aliyekaa) ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan.
Meneja wa wakala wa barabara mkoa wa Singida (TANROADS), Mhandisi Yustaki Kangole, akitoa ufafanuzi juu ya sheria zinazotawala akiba/hifadhi ya barabara kwenye kikao cha 36 cha bodi ya barabara mkoa wa Singida.
Mbunge wa jimbo la...
11 years ago
MichuziTanzania kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025
Tanzania inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo alipokuwa akifungua kongamano linaloendelea huko Berlin nchini Ujerumani kama njia mojawapo ya kuadhimisha jubilee ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabalozi, wataalamu...