Tanzania kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025
Na Greyson Mwase, Ujerumani
Tanzania inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo alipokuwa akifungua kongamano linaloendelea huko Berlin nchini Ujerumani kama njia mojawapo ya kuadhimisha jubilee ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabalozi, wataalamu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo04 Dec
Tanzania ifikapo mwaka 2025.

10 years ago
MichuziRAIS DK. JAKAYA KIKWETE KUONGOZA KONGAMANO LA KUELEKEA UCHUMI WA KATI IFIKAPO 2025
Na Emmanuel Massaka ,Globu ya JamiiRAIS Dk. Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika...
10 years ago
Vijimambo06 Jun
MWIGULU NCHEMBA ATIKISA DODOMA,ACHUKUA FOMU YA URAIS,SASA SAFARI YA TANZANIA KUELEKEA KIPATO CHA KATI IMEANZA









10 years ago
Michuzi02 Mar
HAFLA YA KIKUNDI CHA WAHITIMU WA CHUO CHA MZUMBE WALIOMALIZA MASOMO KATIKA KIPINDI KATI YA MWAKA 1992 NA MWAKA 1996 YAFANA




11 years ago
Mwananchi21 Oct
Tanzania inahitaji walimu laki nne ifikapo mwaka 2030
11 years ago
Habarileo12 Sep
JK: Tanzania itakuwa nchi yenye uchumi wa kati 2025
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali imejipanga katika kuhakikisha hadi ifikapo mwaka 2025 Tanzania itakuwa imebadilika kiuchumi kutoka nchi inayoendelea hadi kuwa nchi yenye uchumi wa kati.
5 years ago
Michuzi
Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.
5 years ago
Michuzi
SEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA IFIKAPO 2025-WAZIRI MKUU KAASIM MAJALIWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha cheti baada ya kuzindua utoaji wa cheti cha uhalisia kwa Madini ya Bati kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 23, 2020. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai, wa pili kushoto ni...
11 years ago
Habarileo27 Apr
Tanzania kuuaga umasikini mwaka 2025
TANZANIA inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.