Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania kuuaga umasikini mwaka 2025

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoTANZANIA inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

CCM wajipanga kuuaga umasikini

IMEELEZWA kuwa endapo wanachama na viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watalipa ada zao kwa asilimia 100 kitakuwa na uwezo wa kukusanya Sh bilioni 12 kwa mwezi na kuzidi ruzuku inayotolewa na serikali kwa vyama vya siasa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Manispaa ya Mtwara na harakati za kuuaga umasikini

KAMA umeshawahi kuishi ama kutembelea mkoa wa Mtwara miaka ya 1970 mpaka mwishoni wa 1990 na kufanikiwa kuuona ama kuwepo katika mkoa huo kwa kipindi cha karibuni, utakubaliana nami kifikra...

 

10 years ago

Vijimambo

Tanzania ifikapo mwaka 2025.

Watanzania wana matarajio mengi kuhusu maisha yao ya baadayeWananchi wanamatumaini kuwa nchi itakuwa yenye uchumi wa kati ifikapo 20254 Desemba 2014, Dar es Salaam: Zaidi ya nusu ya wananchi (54%) wanafikiri kuwa maisha yao yatakuwa bora zaidi ifikapo mwaka 2025. Huu ndio mtazamo wa wananchi wakio katika makundi yote- vijana kwa wazee, wanaume kwa wanawake, na wakazi wa vijijini na mijini. Mtazamo huu ni tofauti kabisa na ule wa nchi za Marekani na Ulaya ambapo karibu wananchi saba kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025

Na Greyson Mwase, Ujerumani

Tanzania inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na  kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo alipokuwa akifungua  kongamano linaloendelea huko Berlin nchini Ujerumani  kama njia mojawapo ya kuadhimisha jubilee ya miaka 50 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kongamano hilo  linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na mabalozi, wataalamu...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR

Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa hotuba fupi kwa Maofisa wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani) katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. sherehe hiyo imefanyika Januari 9, 2015 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la Maafisa Magereza, Ukonga, Jijini Dar es Salaam.Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa neno fupi kabla ya kumkaribisha rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(wa tatu...

 

9 years ago

Habarileo

Tanzania yapangwa kufuta umasikini

TANZANIA imeteuliwa kuwa moja ya nchi nane duniani, zitakazofuta umasikini katika mapambano ya dunia ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu. Malengo hayo likiwemo hilo la kufuta umasikini, yanachukua nafasi ya Malengo ya Maendeleo ya Milenia, ambayo muda wake wa utekelezaji wa miaka 15 umemalizika mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UMASIKINI WA TANZANIA: Uchovu wa akili ya uongozi

KWA miaka 50 sasa, Tanzania imeshuhudia kushindwa kwa uongozi kufikia utashi wa uhuru katika kuleta mujtamaa wa kichumi, kijamii na kisiasa. Mwalimu Julius K. Nyerere alifundisha kwamba, ili nchi yetu...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Tanzania itakuwa nchi yenye uchumi wa kati 2025

Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa tatu wa Taifa wa Ukuzaji Uchumi wa Tanzania, Uchumi Mabadiliko ya Maendeleo ya Binadamu, ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa taasisi hiyo, Philemon Luhanjo na Mkurugenzi Mtendaji wa ESRF, Dk Hoseana Lugonelo. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali imejipanga katika kuhakikisha hadi ifikapo mwaka 2025 Tanzania itakuwa imebadilika kiuchumi kutoka nchi inayoendelea hadi kuwa nchi yenye uchumi wa kati.

 

10 years ago

AllAfrica.Com

Secondary School Students in Siha, Tanzania to Own Laptops By 2025


Secondary School Students in Siha, Tanzania to Own Laptops By 2025
AllAfrica.com
Every secondary School student in Siha, which is one of the seven administrative districts of Kilimanjaro Region in Tanzania is set to own a laptop computer and every household to have a university graduate by 2025. This was said by SIHA Member of ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani