Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wajipanga kuuaga umasikini

IMEELEZWA kuwa endapo wanachama na viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watalipa ada zao kwa asilimia 100 kitakuwa na uwezo wa kukusanya Sh bilioni 12 kwa mwezi na kuzidi ruzuku inayotolewa na serikali kwa vyama vya siasa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Manispaa ya Mtwara na harakati za kuuaga umasikini

KAMA umeshawahi kuishi ama kutembelea mkoa wa Mtwara miaka ya 1970 mpaka mwishoni wa 1990 na kufanikiwa kuuona ama kuwepo katika mkoa huo kwa kipindi cha karibuni, utakubaliana nami kifikra...

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania kuuaga umasikini mwaka 2025

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoTANZANIA inatarajiwa kuondoka kwenye kundi la nchi masikini na kuhamia kwenye kundi la nchi zenye kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.

 

10 years ago

Mwananchi

CCM wajipanga kumng’oa Mdee Kawe

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ameanza kuonja joto la kuwania ubunge katika jimbo hilo baada ya watu wanane kujitokeza kwa siku ya kwanza kuitaka nafasi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

Wabunge na Wawakilishi wa CCM Zanzibar tayari wamekutana na kupanga mkakati wa pamoja kwa nia ya kupinga Mfumo wa Muungano wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefahamika juzi visiwani Zanzibar.

 

11 years ago

Habarileo

CCM wajipanga kumnyang’anya jimbo Msigwa wa Chadema

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimetangaza mpango mkakati wa kulikomboa Jimbo la Uchaguzi la Iringa Mjini. Mpango huo ulitangazwa katika mkutano mkubwa, uliofanyika juzi kwenye uwanja wa Mwembetogwa mjini hapa. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Mchungaji Peter Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2010.

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murry kuuaga ukapera

Ni mwaka wenye hadhi na uzito kwa mcheza tennis Andy Murray, hali hiyo si tu kutokana na matumaini yake mapya.

 

9 years ago

Bongo5

Dudu Baya kuuaga ukapera, January

dudubaya3

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Dudu Baya amesema hakuna kitu kinachomnyima usingizi kama maandalizi ya ndoa yake itakayofanyika January 2016.

dudubaya3

Rapa huyo ambaye pia ni baba wa mtoto mmoja aitwae Wille, ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio wakati wake sahihi wa kuoa na kukaa na familia.

“Hakuna kitu kinaniumiza kama ndoa,” alisema.

“Nafunga ndoa January kwa sababu tayari nimeshapitia maisha yote ya ujana na sasa ni wakati wa kutulia home na familia. Wille amekuwa, mwakani anaingia form one na ninakaa...

 

9 years ago

Mtanzania

Dudu Baya kuuaga ukapera Januari

Dudu BayaNA MWANDISHI WETU

MKONGWE wa muziki nchini, Dudu Baya, anatarajia kuachana na ukapera Januari mwakani ambapo atafunga ndoa.

Msanii huyo amedai kwamba katika maisha yake amefanikiwa kupitia mambo mengi ya ujana lakini kilichobaki kwa sasa ni kuishi maisha ya ndoa.

“Ninatarajia kufunga ndoa Januari mwakani kwa kuwa tayari nimepitia maisha mbalimbali ya ujana kilichobaki ni kukaa na familia.

“Ninaishi na mwanangu Wille na mwakani ataanza kidato cha kwanza, hivyo lazima nifunge ndoa niishi kama...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete aongoza mamia kuuaga mwili wa Dk Shija

Mwili wa aliyekuwa katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Shija aliyefariki Oktoba 4 katika Hospitali ya Charring Cross mjini London, Uingereza, umeagwa jana jijini Dar es Salaam na mamia ya waombolezaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani