Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM wajipanga kumng’oa Mdee Kawe

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ameanza kuonja joto la kuwania ubunge katika jimbo hilo baada ya watu wanane kujitokeza kwa siku ya kwanza kuitaka nafasi hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ukawa wajipanga kumng’oa Ghasia bungeni

HAWA GHASIASHABANI MATUTU NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
WABUNGE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wanakusudia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kumng’oa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia kwa kusababisha vurugu katika uchaguzi na siku za kuapishwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa.
Akizungumzia kusudio hilo Dar es Salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari, Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wajipanga kumng’oa Majimarefu 2015

CHAMA cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti mpya wa Chama hicho wilayani Korogwe, Aulerian Nziku, amesema wamejipanga kumng’oa Mbunge wa Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani, maarufu kama Profesa Majimarefu...

 

5 years ago

The Citizen Daily

VIDEO: Kawe MP Halima Mdee snubs Mashinji’s handshake

VIDEO: Kawe MP Halima Mdee snubs Mashinji’s handshake  The Citizen Daily

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ: MBUNGE HALIMA MDEE NI MZIGO JIMBO LA KAWE


Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE ALIPOUNGURUMA VIWANJA VYA FURAHISHA MWANZA JANA

Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Chadema, Halima Mdee, akipeana mikono kusalimiana na wafuasi wa Chadema baada ya kumaliza kuwahutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza jana. Mbunge huyo mara baada ya kumaliza kuwahutubia wafuasi wake, aliwatangazia kuanza kutoa chochote kitu ili kuchangia na kumwezesha Mbunge huyo kuweza kuendelea na ziara za mikiani ili kufanya mikutano kama huo, ambapo walijitokeza na kuchangia kila mmoja kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA, FLORA MBASHA WAIBUKIA MKUTANO WA CHADEMA KAWE, NI ULE WA KUZINDUA KITABU CHA MBUNGE HALIMA MDEE

Msanii wa nyimbo za Injili Flora Mbasha, (mwenye nguo nyeusi), akiongoza mashambulizi jukwani
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, leo hii alasiri Mei 24, wameibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

CCM wajipanga kuuaga umasikini

IMEELEZWA kuwa endapo wanachama na viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) watalipa ada zao kwa asilimia 100 kitakuwa na uwezo wa kukusanya Sh bilioni 12 kwa mwezi na kuzidi ruzuku inayotolewa na serikali kwa vyama vya siasa.

 

10 years ago

Habarileo

Mwenyekiti CCM atamba kumng’oa Mchungaji Msigwa

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa.MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu (39) amesema anayo nia na uwezo wa kumuangusha katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini anayemaliza muda wake Mchungaji Peter Msigwa (Chadema).

 

11 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

Wabunge na Wawakilishi wa CCM Zanzibar tayari wamekutana na kupanga mkakati wa pamoja kwa nia ya kupinga Mfumo wa Muungano wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefahamika juzi visiwani Zanzibar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani