CHADEMA wajipanga kumng’oa Majimarefu 2015
CHAMA cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti mpya wa Chama hicho wilayani Korogwe, Aulerian Nziku, amesema wamejipanga kumng’oa Mbunge wa Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani, maarufu kama Profesa Majimarefu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania10 Jan
Ukawa wajipanga kumng’oa Ghasia bungeni
SHABANI MATUTU NA VERONICA ROMWALD, DAR ES SALAAM
WABUNGE wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wanakusudia kupeleka hoja binafsi bungeni ili kumng’oa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia kwa kusababisha vurugu katika uchaguzi na siku za kuapishwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa.
Akizungumzia kusudio hilo Dar es Salaam jana alipozungumza na waandishi wa habari, Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena...
10 years ago
Mwananchi16 Jul
CCM wajipanga kumng’oa Mdee Kawe
10 years ago
Mwananchi23 Feb
10 years ago
Mtanzania16 Feb
Chadema wapania kumng’oa Mkuchika
NA FLORENCE SANAWA, NEWALA
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Newala, Mkoa wa Mtwara, kimepania kumng’oa madarakani Mbunge wa Newala, George Mkuchika (CCM) wakati wa uchaguzi mkuu ujao.
Akizungumza na MTANZANIA nyumbani kwake jana, Katibu wa Chadema wilayani hapa, Rashid Mhunzi, alisema wananchi wa Newala wanahitaji mabadiliko makubwa ili kuondokana na umasikini unaowakabili kwa miaka mingi.
“Sisi Newala ni kama hatuna mbunge japokuwa anajiona yupo kwa sababu amekuwa...
11 years ago
Habarileo15 Jan
CCM wajipanga kumnyang’anya jimbo Msigwa wa Chadema
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimetangaza mpango mkakati wa kulikomboa Jimbo la Uchaguzi la Iringa Mjini. Mpango huo ulitangazwa katika mkutano mkubwa, uliofanyika juzi kwenye uwanja wa Mwembetogwa mjini hapa. Jimbo hilo kwa sasa linaongozwa na Mchungaji Peter Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) aliyechaguliwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2010.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Melleck: Nina dhamira ya kumng’oa Mrema Vunjo 2015
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
‘Tutaizika Chadema 2015’
UVCCM yaanza kumtikisa Sugu Mbeya Yaapa kurejesha majimbo yote mawili
Na Innocent Ng’oko, Mbeya
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeendelea kutikisa ngome ya mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, (Sugu) na kumtangazia kwamba CCM itarejesha jimbo hilo na la Mbozi Magharibi.
Umesema hakuna kikwazo cha kutwaa majimbo hayo kwa kuwa wananchi wameshatambua kwamba wabunge wa Chadema hawawezi kutatua kero zao na badala yake wanaendekeza maslahi binafsi.
Umoja huo umesema lengo lao...
10 years ago
Mtanzania17 Sep
Kikosi kipya Chadema 2015
Kikosi cha Chadema
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kikosi kazi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, baada ya makada nane kuchaguliwa na Baraza Kuu kuwa wajumbe wa Kamati Kuu.
Katika kikosi hicho, Mbunge wa Ubungo, John Mnyika amevaa viatu vya aliyekuwa Makamu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, Zitto Kabwe.
Safu ya kikosi hicho ambacho kitaongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe, ilikamilika juzi usiku kwa Baraza Kuu kuchagua...