Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wapania kumng’oa Mkuchika

george-mkuchika-akiNA FLORENCE SANAWA, NEWALA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Newala, Mkoa wa Mtwara, kimepania kumng’oa madarakani Mbunge wa Newala, George Mkuchika (CCM) wakati wa uchaguzi mkuu ujao.

Akizungumza na MTANZANIA nyumbani kwake jana, Katibu wa Chadema wilayani hapa, Rashid Mhunzi, alisema wananchi wa Newala wanahitaji mabadiliko makubwa ili kuondokana na umasikini unaowakabili kwa miaka mingi.

“Sisi Newala ni kama hatuna mbunge japokuwa anajiona yupo kwa sababu amekuwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wajipanga kumng’oa Majimarefu 2015

CHAMA cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti mpya wa Chama hicho wilayani Korogwe, Aulerian Nziku, amesema wamejipanga kumng’oa Mbunge wa Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani, maarufu kama Profesa Majimarefu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Mkuchika aipongeza NHIF

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika, ameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kutoa elimu ya kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza. Mkuchika alisema hayo...

 

11 years ago

Habarileo

Mkuchika akemea wanaochukua sheria mkononi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika amewataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi.

 

5 years ago

Michuzi

MKUCHIKA -HALMASHAURI ZIJIFUNZE URASIMISHAJI SINGIDA


Afisa Biashara wa Manispaa ya Singida, Erick Sinkwembe akitoa maelezo mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kuhusu kituo cha Urasimishaji na Uendelezaji wa Biashara.(Picha na John Mapepele)
Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma ikitumbuiza mbele ya ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa walipotembelea Kampasi ya Singida.(Picha na John Mapepele)
Wanafunzi wa Sekondari ya Mwenge Mjini Singida wakiwasikiliza wabunge wa Kamati ya Kudumu ya...

 

10 years ago

GPL

MKUCHIKA, MUKANGARA WAALIKWA TAMASHA LA PASAKA

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, George Mkuchika na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara wamealikwa kuhudhuria Tamasha la Pasaka litakalofanyika Aprili 5, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa, jijini Dar. Akizungumza na Showbiz, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama alisema kuwa mbali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkuchika ataka Afrika iungane kupigania rasilimali

SERIKALI  za Afrika zimetakiwa kuungana katika kupigania kurejeshwa kwa rasilimali za Afrika zilizoibwa zikiwemo fedha haramu zilizofichwa nje ya bara hilo. Hayo yalisemwa juzi na Waziri wa Utawala Bora, George...

 

11 years ago

Mwananchi

Makocha wapania makubwa

>Makocha wa timu zinazoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho wamesema maandalizi mazuri kwa timu zao ndiyo silaha pekee ya kufanya vyema katika mashindano husika.

 

11 years ago

Habarileo

Wapania kusimamia mchakato wa Katiba

UMOJA wa Wabunge Wanawake kutoka vyama vya Upinzani wameapa kusimamia mchakato wa Katiba mpya ili kuondoa uwezekano wa kuzuka kwa machafuko ya kisiasa ambayo waathirika wakubwa watakuwa ni wanawake, watoto na walemavu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani