Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makocha wapania makubwa

>Makocha wa timu zinazoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho wamesema maandalizi mazuri kwa timu zao ndiyo silaha pekee ya kufanya vyema katika mashindano husika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WASANII WAPANIA MAKUBWA TAMASHA LA AMANI

Na Mwandishi WetuTAMASHA la Amani linatarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali wamepania kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki watakaojitokeza.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa wiki hii na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo,Alex Msama ilieleza kuwa wasanii hao wamesema kuna mambo mazuri watayafanya siku hiyo.
Baadhi ya wasanii waliotajwa kwamba watatumbuiza siku hiyo ni Sarah K, John Lissu, Rose Muhando, Upendo...

 

11 years ago

Michuzi

makocha wa Timu ya Barcelona kutoa mafunzo ya makocha wa Tanzania

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Juliana Yassoda (Katikati) akiongea na Wanahabari (Hawapo pichani) kuhusu makocha wa Timu ya Barcelona kutoka nchini Hispania ambao wako nchini kwa ajili ya mafunzo ya makocha wa Tanzania yatakayofanyika kwa muda wa siku mbili.Wengine picha toka kulia ni Balozi wa Spain nchini Mh. Luis Manuel Ceuesta Civis, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL,Kushila Thomas,Kocha Isaac Oriol Guerrero...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa

ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...

 

9 years ago

Habarileo

Simba wapania Kombe la Mapinduzi

TIMU za Simba na Azam zimepania kuchukua ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kuhakikisha zinapambana mwanzo hadi mwisho na kushinda kila mchezo ulioko mbele yao.

 

11 years ago

Habarileo

Wapania kusimamia mchakato wa Katiba

UMOJA wa Wabunge Wanawake kutoka vyama vya Upinzani wameapa kusimamia mchakato wa Katiba mpya ili kuondoa uwezekano wa kuzuka kwa machafuko ya kisiasa ambayo waathirika wakubwa watakuwa ni wanawake, watoto na walemavu.

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema wapania kumng’oa Mkuchika

george-mkuchika-akiNA FLORENCE SANAWA, NEWALA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Newala, Mkoa wa Mtwara, kimepania kumng’oa madarakani Mbunge wa Newala, George Mkuchika (CCM) wakati wa uchaguzi mkuu ujao.

Akizungumza na MTANZANIA nyumbani kwake jana, Katibu wa Chadema wilayani hapa, Rashid Mhunzi, alisema wananchi wa Newala wanahitaji mabadiliko makubwa ili kuondokana na umasikini unaowakabili kwa miaka mingi.

“Sisi Newala ni kama hatuna mbunge japokuwa anajiona yupo kwa sababu amekuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Embukoi wapania mapinduzi sekta ya elimu

MWENYEKITI wa Kijiji cha Embukoi wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, Lazaro Lengere, amesema kwamba wamejipanga kuleta mapinduzi kwenye sekta ya elimu kwa kujali usawa wa kijinsia, kitu ambacho miaka ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukanda wa Kati wapania kukuza uchumi

Nchi za Afrika Mashariki na Kati zimetakiwa kuondokana na vitendo vinavyochelewesha ustawi wa mataifa hayo kiuchumi

 

9 years ago

Mwananchi

Kiapo cha jasho, mawaziri wapania kazi

Hafla ya kuapishwa kwa mawaziri iliyofanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaam ilikuwa kavu isiyo na shangwe zilizozoeleka huku mawaziri wakionekana wazi kuwa wamepania kufanyia kazi kiapo chao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani