WASANII WAPANIA MAKUBWA TAMASHA LA AMANI
Na Mwandishi WetuTAMASHA la Amani linatarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali wamepania kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki watakaojitokeza.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa wiki hii na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo,Alex Msama ilieleza kuwa wasanii hao wamesema kuna mambo mazuri watayafanya siku hiyo.
Baadhi ya wasanii waliotajwa kwamba watatumbuiza siku hiyo ni Sarah K, John Lissu, Rose Muhando, Upendo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziNkone, Lissu, Mwangila waahidi makubwa Tamasha la Amani Dar
Mwimbaji wa nyimbo za injili, John Lissu akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Tamasha la kuombea Amani Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25,...
9 years ago
MichuziWASANII 74 WAOMBA KUSHIRIKI TAMASHA LA AMANI
Na Mwandishi WetuKAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, imesema inapata wakati mgumu kuhusiana na idadi ya waimbaji ambao wanaomba kushiriki tamasha hilo litakalofanyika Oktoba 4, mwaka huu. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Alex Msama amesema wiki hii kuwa idadi ya wanaoomba washiriki tamasha hilo imekuwa kubwa kuliko kawaida, ambapo hadi juzi walikuwa waombaji wamefikia 74. “Tunapata maombi mengi, tunajitahidi kadri ya...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Makocha wapania makubwa
10 years ago
GPLWASANII WAKONGWE WAPANIA KUFANYA KUFURU KATIKA UZINDUZI WA KAONE SANAA GROUP NDANI YA DAR LIVE
11 years ago
Michuzi05 Feb
GLOBAL BREAKING, TAMASHA LA JOGGING WAAHIDI MAKUBWA DAR LIVE J’PILI HII
Mambo...
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Wasanii kuhimiza amani
WASANII wa Bongo Movie, muziki wa dansi, taarabu, maigizo na tamthilia, wametangaza kuzunguka nchi nzima wakiwa na Kamati ya Tanzania Kwanza Nje ya Bunge Maalum la Katiba kwa lengo la...
11 years ago
GPLGLOBAL BREAKING, TAMASHA LA JOGGING WAAHIDI MAKUBWA DAR LIVE J’PILI HII
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Wasanii kutoa wimbo wa amani
9 years ago
Habarileo28 Sep
JK mgeni rasmi Tamasha la Amani
RAIS Jakaya Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Kuombea Amani nchini litakalofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Jumapili wiki hii. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, Rais Kikwete amekubali kuwa mgeni rasmi siku hiyo katika tamasha la kuombea amani Tanzania kuelekea katika Uchaguzi Mkuu mwezi ujao.