Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII 74 WAOMBA KUSHIRIKI TAMASHA LA AMANI

Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha la Amani, Alex Msama.
Na Mwandishi WetuKAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Amani, imesema inapata wakati mgumu kuhusiana na idadi ya waimbaji ambao wanaomba kushiriki tamasha hilo litakalofanyika Oktoba 4, mwaka huu. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Alex Msama amesema wiki hii kuwa idadi ya wanaoomba washiriki tamasha hilo imekuwa kubwa kuliko kawaida, ambapo hadi juzi walikuwa waombaji wamefikia 74. “Tunapata maombi mengi, tunajitahidi kadri ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WASANII MJIANDIKISHE KUSHIRIKI TAMASHA LA MTANZANIA ,KOLON,UJERUMANI

Tamasha litafanyika mjini Koloni,Ujerumani April 2015
Wasanii wanaotaka kushiriki katika katamasha la kongamano la wasanii wa Tanzania na afrika mashariki linalotarajiwa kufanyika mjini Kolon,Ujermani siku ya 8 November 2014 mnaombwa mjiandikishe kwa kuwasiliana katika namba ya simu +49(0)15778645623 .Tamasha hili linania ya kutangaza sanaa za maonyesho za Tanzania nchini ujerumani,wasanii wa ngoma za asili,Sarakasi,Maigizo, Muziki n.k mnakaribishwa kujiandikisha kushiriki Tamasha hili...

 

10 years ago

Michuzi

MSANII WA KENYA SARA K KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBE AMANI HAPA NCHINI

 Mwenyekiti wa kamati  Maandalizi ya Tamasha la Amani, Alex Msama amesema  washiriki wa tamasha hilo ni waimbaji mbalimbali wa injili kama Solomon Mkubwa, Rose Mhando, Upendo Nkone, Boniface Mwaitege, kwaya ya  KKT ya  Dar es Salaam pamoja na kwaya mojawapo kutoka Iringa, amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.Kulia niKatibu mkuu wa makanisa ya Kipendekote Askofu, David Mwasota akizungumza kuhusiana na tamasha hilo kuwa wananchi wakitokeze kwa wingi...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WAPANIA MAKUBWA TAMASHA LA AMANI

Na Mwandishi WetuTAMASHA la Amani linatarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na tayari wasanii mbalimbali wamepania kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki watakaojitokeza.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa wiki hii na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo,Alex Msama ilieleza kuwa wasanii hao wamesema kuna mambo mazuri watayafanya siku hiyo.
Baadhi ya wasanii waliotajwa kwamba watatumbuiza siku hiyo ni Sarah K, John Lissu, Rose Muhando, Upendo...

 

10 years ago

Michuzi

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WA AFRIKA KUSINI SIPHO MWAKABANE KUSHIRIKI TAMASHA LA KUOMBEA AMANI OKTOBA 4 MWAKA HUU.

 Mwenyekiti wa  kamati ya maandalizi ya Tamasha la Amani linalotarajia kufanyika Oktoba 4 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusina na Msanii wa Afrika Kusini,Sipho Mwakabane ambaye atatumbuiza katika tamasha  Oktoba 4 mwaka huu. Pia amesema kuwa msanii huyo wa nyimbo za Injili wa kimataifa. Na kulia ni Mratibu wa Tamasha la kuombea Amani, Hudson...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanamichezo waomba amani

Wanamichezo mbalimbali wamewataka Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa utulivu na kusubiri matokeo bila kufanya fujo wala kuhatarisha amani iliyopo nchini kwa sasa.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Habarileo

Vikundi 65 kushiriki Tamasha la Sanaa

VIKUNDI 65 kutoka ndani na nje ya nchi vinatarajia kushiriki katika Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo kuanzia wiki ijayo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wasanii 200 kushiriki Sauti za Busara 2014

VIKUNDI 32 kutoka ndani na nje ya nchi vimechaguliwa kufanya maonesho ya muziki kwenye tamasha la 11 la Sauti za Busara linalotarajiwa kufanyika viwanja vya kihistoria vya Ngome Kongwe visiwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani